Unawafahamu wanawake wa Amazon?

inasemekana dahomey baadae ilivamiwa,na mwanamama kukamatwa,na kufikishwa haiti, huko akamtrain mtoto anaitwa jean jacque ,.(rais wa kwanza wa haiti)
Hakua raisi wa kwanza bali mfalme/Emperor wa kwanza. Jacques kafa akiwa na 48yrs kauawa baada ya miaka 2 tu ya utawala.

Lakini kuhusu muvi ya Woman King wamejaribu kuunganisha matukio tu ili kuendana na historia ila kilichptokea kwenye muvi sio halisi kwenye historia ya Dahomey. Hata majina yao sio halisi.

Unajua ulivyosema walienda kuanzisha taifa la Haiti nikajua unataka niambia kwamba kabla ya hapo Haiti haikuwepo hivyo nilikua natama nikuletee History ya Lincoln kuwaachia watumwa huru ijulikanayo Emancipation Proclamation nikuonyeshe kua haiti ilikuwepo toka zamani na watumwa wengine walitoka huko Haiti
 
kaka nipe madini hayo
 
Shida ndio inaanzia hapa maana bongo kila kitu ni connection ila ningekua mambele. Ningekua naogelea kwenye noti😅
Waafrika sio wasomaji, watanzania wanaunuaji wa vitabu or article hakuna. So unakufaa njaa na kipaji chako kichwani😔
mie nadhani wasomaji na wanunuzi wapo ila wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…