GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Kwa wale wanaokumbuka kuna jamaa waliibuka Jijini Dar es salaama na kuanza kukamata Computer ambazo zimepigwa Window fake na software nyingine za Microsoft.
Nakumbuka yule Jamaa wa Sunrise Computer alitakiwa kulipa milioni 50 kama fidia ya kukutwa amepiga Window ambayo haijalipiwa.
Wale jamaa walitoka wapi? Wanapatikana mpaka hii leo?
Hizi window zetu ambazo ni za wizi tunazotumia wengi, ukikamatwa nini hukumu yake?