Mtafiti Madini
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 101
- 38
sasa hao watu wafanyeje? mbona sijaona unawapa advice nini cha kufanya
Ushawahi kusikia mwanaume amefia gest?
Ushawahi kujiuliza nini kinatokea?
Any way kuna mambo mengi ila moja ni hili: Kuna watu wanatumia dawa za kuongeza nguvu za vidonge vya aina mbali mbali ila kimsingi ni dawa zenye kitu kinachoitwa "Sildenafil" ambacho ndicho kinachowapa hivyo wanayoiita nguvu.
Iko hivi, madawa hayo yanachokifanya, huathiri presha ya damu na kusukuma damu kwa wingi kwenda chini na kujaa kwenye mashine.Sasa ni nini Kinatokea basi; damu nyingi huingia kwenye mashine lakini inakuwa haitoki.
Sasa kinachotokea ni kwamba mabadiliko hayo ya presha yanaweza kusababisha moyo kushindwa kufanya kazi na hivyo kumsababisha mtu kufa kimasihara hivi hivi!. Aidha, damu inayoingia na kutuama humo, husababisha kukosekana kwa oksijeni kwenye kiungo hicho kitu kinachosababisha maumivu makali na hali hiyo ikiendelea kwa muda mrefu, seli kwenye kiungo chenyewe huweza kufa na kumlazimu muhusika kukatwa.Tupo pamoja mpaka hapo!?
Nawasilisha.
Kwa hiyo wanaotumia dawa hizo wote wanafanya mapenzi gest?..nenda katafiti madini huku hapakuhusu
Watu wanavichwa vigumu sijui kama watakuelewa
Waache kutumia full stop!!sasa hao watu wafanyeje? mbona sijaona unawapa advice nini cha kufanya
sasa hao watu wafanyeje? mbona sijaona unawapa advice nini cha kufanya
Wnanataka wapige mashine hadi itoe cheche, hawajui kama wanajiua wenyewe.Hivi hizi dawa za nn huko tuendako rabbi tunusuru na vizaz vyetu
Wanachotakiwa kufanya wasinywe Dawa za kuongeza nguvu
iyo midawa yote yanini? Mbona mimi napiga mashine mpaka warembo wanakimbia na hivi sasa natafuta dawa za kupunguza nguvu za kivulana maana ni hatari
Wanachotakiwa kufanya wasinywe Dawa za kuongeza nguvu
sante mungu!! promo zimefika kwa mlengwa,nasema zimefika baba.... haya ni pm sasa tupange mipango nikubidue biduepromo!!!