Nunua rangi ya njano au kijani mkuuJapo sina gari ila ndio nalitafuta, ila huwezi amini sijapay attention na rangi kwenye gari zote nimeletewa.
Mimi ni engine na body tu.
Okay kwakua upo kwenye kutafuta, basi vya muhimu sana sana:Japo sina gari ila ndio nalitafuta, ila huwezi amini sijapay attention na rangi kwenye gari zote nimeletewa.
Mimi ni engine na body tu.
Aisee, story of my life.Kwa mazingira ya DAR gari nyeusi sio rafiki sana, rangi nyeusi ukipita kwenye njia yenye majani utatamani upige tena rangi maana Ile mikwaruzo yake itakunyima Raha na roho huwa inauma mno..
Gari yangu rangi ya maroon lkn huwa najitahidi Sana kupaki sehemu zenye kivuli Hadi jioni.
Repainting Kwa gari nyeusi huwa inakaa Kwa mwaka mmoja baada ya hapo inaanza kuvimba na kubanduka tena rangi
Nimefaidika sana kwenye haya maelezo, Nitajatibu kua nayo hata at least siku nzima.Okay kwakua upo kwenye kutafuta, basi vya muhimu sana sana:
1. Engine
Hapa kuna muonekano wa engine na mlio. Sasa ukienda kuitest gari, USIENDE WAKATI GARI IMETOKA KUTUMIKA (WARM ENGINE). Wanashauri nenda muda engine ilikua OFF angalau kwa masaa 10 zaidi, sana sana Asubuhi na mapema. Mfano imepark. Utafaidika kuona kama chini imeacha leakage na pia cold start inaonesha matatizo. Engine ikiwa warm kuiwasha haisuisui.
2. Endesha mwenyewe
Mbali na fundi kuikagua itabidi uiendeshe mwenyewe. Kuendesha usiendeshe eti dk 5 au 10. Endesha ata dk 30 if possible weka ata mafuta ya elfu 10 endesha.
Endesha kwenye lami, rough road, mlima mkali na highway.
Lami utaona jinsi gari linavyotulia kwenye smooth road.
Rough road tutaona suspension zinavyoitika kwenye kologesheni.
Highway utaangalia jinsi gari kinavyo handle above 60kph
Mlimani tutaona gari linavyobadirisha gear automatically, smooth au rough?
3. Legal Documents
Umiliki wa gari sio tu gari, Pamoja na documents zote za muhimu. Pia angalia chassis number ya kwenye kadi na gari.
4. Ajali & Modifications
Gari ukiona imefanyiwa modifications nyingi sana, piga chini. Na kama limefanyiwa ukarabati sana piga chini.
Engine nzuri ukiachana na beams 200, 5A zingine ni zipi?Okay kwakua upo kwenye kutafuta, basi vya muhimu sana sana: