Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,359
- 108,502
Yani ukipita kona hii me napita ile. Maisha fresh tu
Heheh nitakukamata tu we ngoja...
Yani ukipita kona hii me napita ile. Maisha fresh tu
Shem umenena neno!
Btw kula mkwanja na mkoleni uwe ulifuzu!
Mkatiko kama funza wa toileti ndiyo satifiketi ya kumanga mapeni yangu!
Heheh nitakukamata tu we ngoja...
hahahaha labda ukatishe katikati
nitapita popote pale mradi tu nikutie mikononi...
hahaha ntakung'ataje? Upo job?
mrefu ndo mpango mpango. asiwe mwembamba sana. mia
Hehehe nakumbuka nikiwa mtoto walikuwa wanasema mtu akikung'ata watia mavi ya kuku pale ulipong'atwa ili meno ya mng'ataji yaoze...basi mie ntafanya hivyo hivyo.
Yes Bela nishafika kwa mkoloni sasa...
habari za saa hizi wana jf.
Hivi ni umbo lipi kati haya unavutiwa naye; mnene, mweus, mfupi, mrefu
au mweupe. na kwanini?
Love you my husband.... Daddy dearestKama ushawahi kumuona measkron enzi za ujana wake, basi hutapata tabu kujua nilikua napenda msichana wa namna gani.
Mrefu, nywele ndefu kama za singa, rangi ya ngozi ni maji ya kunde na ni angavu, akitembea wazungu huita cat walk.
Kinywani ana meno meupe kama theluji na yamejipanga barabara mithili ya askari wa mkoloni walio tayari kwa gwaride.
Hapo sijashuka kifuani na kuelezea namna alivyo na kifua kiduchu, na ana kiuno cha nyigu akitembea huwa chayumba pande zote kama pia izungukayo.
Nitarudi kuelezea sifa nyingine....
wanawake wafupi ndio mpango mzima!
Hujambo?Kipotabooooooo hadi pa kukamata nakosa