Unaupimaje utendaji wa Waziri wa uchukuzi?

Mabadiiko ni hatua tangu apewe wizara hata mwaka haujageuka, ndio kwanza hii ndio bajeti yake ya kwanza tangu awe waziri mpeni muda afanye kazi baada ya mwaka ndio mfanye tathimini....

Hii nchi kila ulifanyalo unataka urais kupewa post ya kugombea urais ni mchakato wa chama na sio jitihada za mtu mmoja mmoja, Mh mwakyembe fanya kazi tutakutathimin baada ya mwaka wa pili wa bajeti yako tupo pmj na ww suport sana
 
Ruta kuna jambo ambalo nakubaliana na wewe kwamba kuna watu wamechoka na mambo yanavyokwenda nchi hii na hivyo hawaamini katika utaratibu,wanaamini sasa kutumia njia za short kati kusolve matatizo, mimi ni mmoja wao,actually siamini kabisa system tena naona haki haitendeki natamani tuwe na kiongozi Dikteta lakini Mzarendo wa kweli,umeona mfano mzuri issue ya Tanesco? Waziri na katibu wake mkuu wamepindisha sheria ya manunuzi lakini kwa manufaa ya wanchi baada ya kugundua kuna wajanja wanajineemesha kwa style hiyo. Mambo ya procurement serikalini watu wanaiba pesa kweli kwa kubambika bei za uongo.

Kuna taasisi za serikali kabla ya kulazimishwa kupitia tendering boards za wizara husika manunuzi yao yalikua nafuu sana lakini baada ya kuweka sheria ya manunuzi yamekua makubwa kweli aisee.Mfano kuna sehemu walichukua magari kupitia pool ya serikali bei iliongezeka million 30, lakini wangenunua wenyewe ingepungua hiyo 30m. sas Ndugu watu tunaona hayo na yanachukiza kweli aisee,wengine tunaona bora kutumia nguvu kuthibiti ikiwa kama wewe waziri mshahara wako tunaujua na ghafla umetajirika unashughulikiwa hakuna mambo ya kutafuta sana ushahidi. Watu wakinyooka sasa tutaweka hizo taratibu,vinginevyo nchi hii watu hawana ethics kabisa,ona Twiga wameibiwa tena na ndege ya jeshi kutoka nchi nyingine lakini watu wanadunda tu mtaani maana hakuna ushaidi!

Nchi hii imekua na vituko vingi sana,tunahitaji watu kama akina Kagame ndiyo nchi itakwenda.
 
Luta:" hakuna mahali duniani humu mtu mmoja akaleta mabadiliko yenye tija kwa kubeza wenzie na kufanyakazi bila ushirikiano................... .......:If you want to walk faster walks alone.................but if you want to walk far walk with others............"

Luta, pia ni kweli kuwa, hakuna kiongozi duniani aliyeshawishi umma na mabadiliko ya ukombozi yakapatikana kwa yeye kujiunga na business as usual group hegemony. Mandela hakufanya hivyo SA kama ambavyo Boers walivyomtaka yaani kwa hiyo lugha yako, walimwambia kuwa anawabeza wengine (wanasiasa na watawala wenye uzoefu) na wakamtisha kuwa hatafika mbali na kama alitaka afike mbali aende polepole kama wanasiasa wengine asizungumze adharani harakati za ANC za kukataa apartheid regime.
Luta, only dead fish swim with the stream all of the time. Ni samaki aliye hai tu anaweza kwenda kinyume na mitiririko ya mikondo ya maji. Aidha kuna mamilioni ya wananchi na maelefu ya watumishi na wakuu wa taaasisi na idara wanaowaunga mikono Mawaziri wachapakazi lakini kuna makumi ya wezi na wabadhilifu na wazembe na watu wa mishe mishe ambao hawatamuunga mkono na yeye hana haja ya kushirikiana na hao!

Luta:
" Mwakyembe is walking faster but is he walking further....................... ...the answer is in negativity................hizi mbio za sakafuni huishia ukingoni na zitammaliza yeye"

Please Luta, do not be a pessimist who sees only the dark side of the clouds.

Hata M. Luther King alionekana kwenda mbio na kasi yake ikatafsiriwa kuishia jioni ya saa 1:05 Aprili 04, 1968, baada ya kupigwa risasi pale Lorraine Motel (hatuombei haya), lakini tunajua ukweli kuwa huo haukuwa mwisho na sasa leo tunaona alichokipigania Marekani. Luta, nikukumbushe kauli ya kutia moyo ya MLK pale ktk hekaluni Memphis, aliposema,

"I may not get there with you. But I want you to know tonight, that we, as a people, will get to the promised land. So I'm happy, tonight. I'm not worried about anything. I'm not fearing any man. Mine eyes have seen the glory of the coming of the Lord".

Sitashangaa kusikia genge la ma CEOs wa mishe-mishe na raia ambao walikuwa wanafaidika kutoka katika mabomba ya kifisadi yanayokatwa na baadhi ya Mawaziri wachapakazi, kujiunga pamoja na kujaribu kuwanyamazisha; hawataweza for we, as people, will get to the promised land! Tumechoka na kuchekeana chekeana na huku tunaangamia in the name of bureaucracy! Watu wapate wajiheshimu na kuwa na maadili ya kazi zao tutarudi huko!:yawn:
 
Inaelekea Mheshimiwa Mwakyembe yuko overexcited na madaraka yake hayo, na kushindwa kujua matumizi yake. Kufuatilia dala dalaau kukagua leseni siyo kazi ya waziri.. Tanzania ina miji mingi sana yenye daladala; hwezi kwenda sehemu zote hizo na kukagua madaladala hayo. Akiwa mchapa kazi, anatakiwa awape malendo subordinates wakke, halafu awasimamia kuhakikisha wanaleta results sahihi na zinazoendana na malengo.

Ninajua kuwa iwapo katika kupitia mafaili ya ateule walioko chini yake akagundua makosa ,basi ana uhuru wa kuwachukulia hatua ya papo kwa papo, lakini siyo kukagua leseni za madereva au eti kukagua vituo vya daladala kwa kushtukiza.

Kimsingi Mwakyembe sio kiongozi, ana madaraka tu.
Leader shows a way na kushawishi watu kufanya kwa ufanisi wa hali ya juu kutumia vipaji na stadi zao kutimiza ndoto na malengo ambayo kiongozi anayo.Hivyo ni lazima afanye kazi kupitia watu.

Badala ya kukagua nauli kwenye vituo vya mabasi alipaswa kuhakikisha SUMATRA wanafanya hivyo. Suprise checks ni muhimu hasa bongo lakini hii management by walking around au "mbwa gimmicks" haifai kwenye wizara.
 
Hata sisi watz hatuamini watendaji wake wa chini kwa sababu wangekua wanafanya kazi zao kikamilifu kusingekua na matatizo tuliyonayo saivi so ni bora afuatilie mwenyewe hao watendaji wa chini watapewa rushwa afu watasema kila kitu kiko sawa
[MENTION]
mtotowamjini[/MENTION] kweli unaamini Mwakyembe akifuatilia atamaliza rushwa kwenye wizara yake kazi ambayo hata takukuru hawajui waanzie wapi?
 
Kimsingi Mwakyembe sio kiongozi, ana madaraka tu.
Leader shows a way na kushawishi watu kufanya kwa ufanisi wa hali ya juu kutumia vipaji na stadi zao kutimiza ndoto na malengo ambayo kiongozi anayo.Hivyo ni lazima afanye kazi kupitia watu.

Badala ya kukagua nauli kwenye vituo vya mabasi alipaswa kuhakikisha SUMATRA wanafanya hivyo. Suprise checks ni muhimu hasa bongo lakini hii management by walking around au "mbwa gimmicks" haifai kwenye wizara.

spiritual-thinker wewe ni great thinker wa kiukweli ukweli................mwakyembe siyo mfuatiliaji bali ni msakaji wa kuwekwa kwenye vichwa vya khabari vya vyombo vya khabari......yaani umaarufu wa bei poa...........
 
Last edited by a moderator:
very very poor manager, hatafanikiwa kamwe, very cheap politics. Wapeni watu wanaojua management hawa watu wanaouta urais hawana maana.

Mjenda Chilo wape vidonge vyao wakishindwa watutapikie tu siye kazi yetu ni kudeki matapishi yao..........
 
Last edited by a moderator:
Luta:" hakuna mahali duniani humu mtu mmoja akaleta mabadiliko yenye tija kwa kubeza wenzie na kufanyakazi bila ushirikiano................... .......:If you want to walk faster walks alone.................but if you want to walk far walk with others............"

Luta, pia ni kweli kuwa, hakuna kiongozi duniani aliyeshawishi umma na mabadiliko ya ukombozi yakapatikana kwa yeye kujiunga na business as usual group hegemony. Mandela hakufanya hivyo SA kama ambavyo Boers walivyomtaka yaani kwa hiyo lugha yako, walimwambia kuwa anawabeza wengine (wanasiasa na watawala wenye uzoefu) na wakamtisha kuwa hatafika mbali na kama alitaka afike mbali aende polepole kama wanasiasa wengine asizungumze adharani harakati za ANC za kukataa apartheid regime.
Luta, only dead fish swim with the stream all of the time. Ni samaki aliye hai tu anaweza kwenda kinyume na mitiririko ya mikondo ya maji. Aidha kuna mamilioni ya wananchi na maelefu ya watumishi na wakuu wa taaasisi na idara wanaowaunga mikono Mawaziri wachapakazi lakini kuna makumi ya wezi na wabadhilifu na wazembe na watu wa mishe mishe ambao hawatamuunga mkono na yeye hana haja ya kushirikiana na hao!

Luta:
" Mwakyembe is walking faster but is he walking further....................... ...the answer is in negativity................hizi mbio za sakafuni huishia ukingoni na zitammaliza yeye"

Please Luta, do not be a pessimist who sees only the dark side of the clouds.

Hata M. Luther King alionekana kwenda mbio na kasi yake ikatafsiriwa kuishia jioni ya saa 1:05 Aprili 04, 1968, baada ya kupigwa risasi pale Lorraine Motel (hatuombei haya), lakini tunajua ukweli kuwa huo haukuwa mwisho na sasa leo tunaona alichokipigania Marekani. Luta, nikukumbushe kauli ya kutia moyo ya MLK pale ktk hekaluni Memphis, aliposema,

"I may not get there with you. But I want you to know tonight, that we, as a people, will get to the promised land. So I'm happy, tonight. I'm not worried about anything. I'm not fearing any man. Mine eyes have seen the glory of the coming of the Lord".

Sitashangaa kusikia genge la ma CEOs wa mishe-mishe na raia ambao walikuwa wanafaidika kutoka katika mabomba ya kifisadi yanayokatwa na baadhi ya Mawaziri wachapakazi, kujiunga pamoja na kujaribu kuwanyamazisha; hawataweza for we, as people, will get to the promised land! Tumechoka na kuchekeana chekeana na huku tunaangamia in the name of bureaucracy! Watu wapate wajiheshimu na kuwa na maadili ya kazi zao tutarudi huko!:yawn:

babykailama nia yako ni njema ila njia unayotaka kupita kuifanikisha imejaa magugumaji.......na anza kulikata hilo la Mwakyembe.....................huyo ni tapeli wa kisiasa.............hana tija.......atafanyaje kazi bila Sumatra na hawa majamaa wanalipwa mapesa kibao..........labda aje na mswada Sumatra ifutwe ili impishe yeye...........
 
Last edited by a moderator:
Mabadiiko ni hatua tangu apewe wizara hata mwaka haujageuka, ndio kwanza hii ndio bajeti yake ya kwanza tangu awe waziri mpeni muda afanye kazi baada ya mwaka ndio mfanye tathimini....

Hii nchi kila ulifanyalo unataka urais kupewa post ya kugombea urais ni mchakato wa chama na sio jitihada za mtu mmoja mmoja, Mh mwakyembe fanya kazi tutakutathimin baada ya mwaka wa pili wa bajeti yako tupo pmj na ww suport sana
[MENTION]
Mwacheni77[/MENTION] ndege njema hunekana tangia alfajiri tena kabla hata hakujapambazuka lakini huu mzuka wa Mwakyembe ni danganya toto..............au wewe wasubiria akumegee peremende?
 
Al Zagawi kwa hiyo hatufai kabisa pamoja na makelele yake.......................tunahitaji kiongozi wa kupanga mikakati ya kuzuia shari kabla haijatokea badala ya kusubiria itokee ajipitishepitishe khalafu aishie..............bila ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo yaliyopo...........

Perfect mkuu wangu Rutashubanyuma....nchi haiwezi kwenda kwa style hii ya one man show anayotaka mh Mwakyembe.

Tunachohitaji ni mfumo ambao unaweza kwenda bila ya kukuru kakara hizi za dk...jambo lililo wazi ni kuwa yeye hatoweza kuwa katika kila pahala panapohusiana na sekta ya uchukuzi na wala wenzie hawatoweza katika sekta zao...bila mfumo madhubuti maana yake ni kuwa hatutofika kokote.

Yeye stahiki yake ni kukaa ofisini na kufanyia management yake huko na ocassionally anatokea site kujiridhisha kuwa the system is actively working..lakini kwa style hii, hebu tujiulize, na hao wanaotakiwa kufanya hizo kazi wanafanya nini??? na yeye ni nani anamfanyia kazi zake huko ofisini???

He is too manual na nadhani dunia ya leo haiko manual hivyo...anatakiwa kubadilika...biashara ya mzee wa kiraracha kufukuzana na wamachinga huu siyo wakati wake!!!
 
Labda anaogopa kasi ya Lowasa anajua akichukua nchi yeye anaweza kuishia mkuuwa wilaya ya Namtumbo.
 
Anachofanya Mwakyembe ni sawa sawa na anachofanya Magufuli, kabla hajatoka ofisini kwake anawaita waandishi anaenda nao kuzunguka kuwapiga biti makandarasi. KWani huwezi kufanya kimya kimya kwa kuwaandikia barua?
 
siku yake itafika tu huyu mnafiki...... hata akiumwa homa au akijikwaa huwa anaanza kutangaza kuwa wabaya wake ndio

wamesababisha......na anafanya hivyo akijua kuwa watz wengi ni vilaza

Ukifanya kazi kwa kusikiliza lawama za watu na matakwa yao yasio yamsingi basi utayumbishwa sana,naamini mwakyembe nimwanasheria na anafanya kazi kwa kurejea sheria za utumishi na angekuwa anakurupuka kama wadau mnavochangia sidhani kama aliyesimamishwa kazi angekaa kimya.kwa wale wapenda mabadiliko hatuna budi kumuunga mkono nasio kumbeza kwa mambo mema ayatendayo kwa mitazamo finyu na potofu tuliyonayo.
 
............Perfect mkuu wangu Rutashubanyuma,nchi haiwezi kwenda kwa style hii ya one man show anayotaka Mh. Mwakyembe.

Tunachohitaji ni mfumo ambao unaweza kwenda bila ya kukuru kakara hizi za dk.

Jambo lililo wazi ni kuwa yeye hatoweza kuwa katika kila pahala panapohusiana na sekta ya uchukuzi na wala wenzie hawatoweza katika sekta zao bila mfumo madhubuti maana yake ni kuwa hatutofika kokote.

Yeye stahiki yake ni kukaa ofisini na kufanyia management yake huko na ocassionally anatokea site kujiridhisha kuwa the system is actively working.

Lakini kwa style hii, hebu tujiulize, na hao wanaotakiwa kufanya hizo kazi wanafanya nini? na yeye ni nani anamfanyia kazi zake huko ofisini?

He is too manual na nadhani dunia ya leo haiko manual hivyo,anatakiwa kubadilika,biashara ya mzee wa kiraracha kufukuzana na wamachinga huu siyo wakati wake

Al Zagawi labda tukimsuta atajirekebisha.
 
Ukifanya kazi kwa kusikiliza lawama za watu na matakwa yao yasio yamsingi basi utayumbishwa sana,naamini mwakyembe nimwanasheria na anafanya kazi kwa kurejea sheria za utumishi na angekuwa anakurupuka kama wadau mnavochangia sidhani kama aliyesimamishwa kazi angekaa kimya.kwa wale wapenda mabadiliko hatuna budi kumuunga mkono nasio kumbeza kwa mambo mema ayatendayo kwa mitazamo finyu na potofu tuliyonayo.................

khetewesa
tatizo la harakati za Mwakyembe ni kujikuza lakini hazina utatatuzi wa matatizo yetu.
 
Anachofanya Mwakyembe ni sawa sawa na anachofanya Magufuli, kabla hajatoka ofisini kwake anawaita waandishi anaenda nao kuzunguka kuwapiga biti makandarasi. KWani huwezi kufanya kimya kimya kwa kuwaandikia barua?

Maundumula ndiyo maana waswahili husema "Debe tupu haliachi kutika."
 
Last edited by a moderator:
Labda anaogopa kasi ya Lowasa anajua akichukua nchi yeye anaweza kuishia mkuuwa wilaya ya Namtumbo.

Maundumula......fisadi Lowassa kamwe hana nafasi kati TZ ijayo..................mwandalie mafao yake ya kustaafu ambayo hata hivyo hatakuwa na meno ya kuyatafuna..................
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom