Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Kashaijabutege itabidi tuwaanzishie shindano la "the best photogenic impostor in the country."
Sure Rutashubanyuma.
Kashaijabutege itabidi tuwaanzishie shindano la "the best photogenic impostor in the country."
[MENTION]
mtotowamjini[/MENTION] katika huo ufuatiliaji wake wa jana mabehewa mangapi yamefufuliwa kama siyo kujitafutia umaarufu wa bwerere....hivi Mwakyembe anajua ni vipuri vipi vimepungua hata kulikamilisha behewa moja kama siyo ushambenga tu?
mleta mada ni aidha muathirika wa fukuzafukuza ya Mwakyembe au yuko kambi ya EL inayomchukia mwakyembe kwa kila jambo.hivi yeye hajui kuwa nchi hii imeoza? akitokea mpenda nchi wa kiukweli si dhani kama kuna bodi yoyote itasalimika. ni madudu kwa kwenda mbele. VIVA MWAKYEMBE TUPO PAMOJA JUHUDI ZAKO TUNAZIONA.WATAKUBEZA LAKINI MWISHO WATACHOKASasa toa ushauri afanye nini? akae ofisini tu ili asiboe? Watanzania sijui tukoje jamani mtu akijaribu kufanya kazi tunamlaumu kwanini? kama wengine ni wazembe basi aangalie tu!kila kitu kibaya tu,Mtu akijaribu kujituma basi anatafuta Urais,akikaa kimya mtaema hafai kabisa amefanya nini nchi hii!Wengine ndiyo maana wamekata tamaa wameamua kushibisha matumbo yao maana sisi ni kulaumu kila kitu.Nchi hii inakatisha tamaa sana, kila mtu ana ajenda ya siri! Wapeni moyo watu wanao jitahidi kwa mazuri wanayofanya na mabaya wakosoeni lakini siyo kila kitu kibaya tu! sasa unataka waziri akae tu basi aangalie madudu napo utapiga kelele hawezi huyu mnafiki tu,basi onesha njia basi wewe!
kajembe usichojua bosi kulingana na sheria lazima awe mzambia na Mwakyembe hana ubavu wa kumwondoa.....sijui tangia lini wazambia wakawa ni ndugu zangu.................la muhimu hapa ni kuwa tutaendelea kukosoa hadi majambozi yatakapowekwa sawa ni haki yetu ya kikatiba...................aache kuingilia watendaji ambao wamewekwa kisheria na hata katibu mkuu wake hamshirikishi kama ni kasi ya kwenda Ikulu hatafika........
Kama Katibu wake Mkuu hamshirikishi basi lazima kutakuwa na kasoro kubwa na hao watendaji wa hiyo wizara kwani ikumbukwe kuwa ni Katibu Mkuu huyo huyo na watendaji wakuu hao hao waliomuhujumu waziri Nundu mpaka akaenguliwa.
Hivi sasa ni hao hao wanaomuhujumu Mwakyembe kwa kutokuviwezesha vikosi kazi anavyoviunda ili visifanye kazi stahiki.
Bila kuwabadilisha hawa watendaji wakuu kama Rais alivyoahidi alipobadilisha baraza la mawaziri, Mwakyembe atatwanga maji kwenye kinu muda wote wa uwaziri wake.
[MENTION]Mimi binafsi naona anafanya kazi nzuri wabongo na serikali yetu inahitaji kuburuzwa kama mbwa mwitu maana vichwa vyetu vimeota kutu
mleta mada ni aidha muathirika wa fukuzafukuza ya Mwakyembe au yuko kambi ya EL inayomchukia mwakyembe kwa kila jambo.hivi yeye hajui kuwa nchi hii imeoza? akitokea mpenda nchi wa kiukweli si dhani kama kuna bodi yoyote itasalimika. ni madudu kwa kwenda mbele. VIVA MWAKYEMBE TUPO PAMOJA JUHUDI ZAKO TUNAZIONA.WATAKUBEZA LAKINI MWISHO WATACHOKA
Uko sahihi kabisa ndugu yangu. Ziara ya ghafla haifanyiki kwa Waziri kwenda karakana peke yake bila uongozi uliopo kujua, mbaya zaidi kutishishia kumfukuza kiongozi mkuu wa sehemu hiyo akiwa hayupo. Sio sahihi kabisa hilo. Kama alitaka kufanya ziara ya angeamka akamuarifu Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu siku hiyo hiyo kuwa yuko njiani kwenda kuwatembelea. TAZARA ni taasisi kubwa, sio rahisi kurekebisha jambo au mambo kwa spidi ili kumfurahisha Waziri. Ziara za ghafla zisitumike vibaya. Kama viongozi wakuu wa TAZARA wako makini, watakapokaa nae kikao watamsuta. Angekwenda nao ili awape maelekezo ya nini wafanye ili kuboresha utendaji wao. Pia asiongoze kwa vyombo vya habari, vinamwinua lakini ajue vyombo hivyohivyo vinaweza kumwangusha. amuulize Mrema
mtotowamjini kweli unaamini Mwakyembe akifuatilia atamaliza rushwa kwenye wizara yake kazi ambayo hata takukuru hawajui waanzie wapi?
"Sitaishia jikoni tu,nitaingia mpaka chumbani" omary nundu