Paddy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 462
- 304
Kwa wale tu waliokua na mda wa kumsikiliza mkuu wa nchi anaemaliza mda wake, yaani ex-president. Je umeguswa vipi na unampa maksi ngapi?
Update: Nawashukuru wote ambao mko objective, unapotoa maksi utoe na sababu hatutaki kumwonea mtu tukapigana vikumbo na kina riz1, miraji pale kitaani
Update 2: Mwandishi mmoja wa habari aliekuwepo jana akiri maswali yalipelekwa mapema JK aandae majibu. Kazi tunayo tz dhidi ya huyu rais wetu.