Elections 2010 Unaupa point ngapi mdahalo (hotuba) ya JK? - Toa sababu...

Paddy

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
459
303
Kwa wale tu waliokua na mda wa kumsikiliza mkuu wa nchi anaemaliza mda wake, yaani ex-president. Je umeguswa vipi na unampa maksi ngapi?

Update: Nawashukuru wote ambao mko objective, unapotoa maksi utoe na sababu hatutaki kumwonea mtu tukapigana vikumbo na kina riz1, miraji pale kitaani

Update 2: Mwandishi mmoja wa habari aliekuwepo jana akiri maswali yalipelekwa mapema JK aandae majibu. Kazi tunayo tz dhidi ya huyu rais wetu.
 
Kwa wale tu waliokua na mda wa kumsikiliza mkuu wa nchi anaemaliza mda wake, yaani ex-president. Je umeguswa vipi na unampa maksi ngapi?

hivi ni mgonjwa wa kucheka cheka? jamaaa siyo kabsaaa -50%
 
Hana Mtazamo mpya, kila kitu serikali ya marekani, korea, ujerumani na wahisani watafanya serikali yetu itafanyanini?, nampa 12% tu kwa upungufu wake wa kutofikilia ila bado huenda nimempendelea sana.:nono:
 
Kwa wale tu waliokua na mda wa kumsikiliza mkuu wa nchi anaemaliza mda wake, yaani ex-president. Je umeguswa vipi na unampa maksi ngapi?
0/100: kajitungia maswali na kuandaa marking scheme, then kaalika invigilators from his party.. sort of like a self assessment survey!!:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
Hana Mtazamo mpya, kila kitu serikali ya marekani, korea, ujerumani na wahisani watafanya serikali yetu itafanyanini?, nampa 12% tu kwa upungufu wake wa kutofikilia ila bado huenda nimempendelea sana.:nono:

Hilo ameshalijibu, kasema alikimbia sayansi na hesabu akachukua jiografia. Huwa anataja hizo nchi kuonyesha ujuzi wake wa jiographia. kwa hilo nampa 53%
 
Hapo sijakuelewa, hizo maksi unamaanisha hata mwanafunzi wa shule ya kata yenye mwalimu mmoja amemshinda uwezo??
 
0/100: kajitungia maswali na kuandaa marking scheme, then kaalika invigilators from his party.. sort of like a self assessment survey!!:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
Pamoja na hayo lakini bado mimi nampa 20%...kwasababu hajaanguka kama kawaida yake
 
Time is money; ametupotezea muda wetu bure kwa sababu hakuna jipya, hivyo anakuwa penalized. Mini nampa -15% (minus 15 percent)!
 
Nawashukuru wote ambao mko objective, unapotoa maksi utoe na sababu hatutaki kumwonea mtu tukapigana vikumbo na kina riz1, miraji pale kitaani..
 
Back
Top Bottom