Unaujua uchochoro huu balaa lake Tandika Temeke kwa Wahaya hapo!

Jul 19, 2013
16
8
DSC02680.jpg



DSC02699.jpg

DSC02703.jpg




DSC02705.jpg



DSC02704.jpg
 
Mbona makabila mengi wako hapo? Sijajua una maana gani kusema kwa wahaya? Mi nikifika hapo huwa napaita MULTICHOICE. Unaweza kupata yeyote. kila kabila, mnene, mweupe nk. Plz badili jina badala ya kwa wahaya andika Multichoice sawa?
 
Uchochoro huu naujua. Nimepita sana miaka mitatu iliyopita wakati nafanya utafiti uliowajumuisha sex workers
 
hivi zamani nilikuwa nasikia jina la magoti nini hasa maana yake au ulikuwa ni mtaa ?
 
Back
Top Bottom