Unaufananisha na nini huu msemo?

Unaufananisha na nini huu msemo?

libent

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
382
Reaction score
89
Ng'ombe aliyeko mbele ndiye anaechelewesha safari kwa kutembea polepole lakini fimbo anachapwa wa nyuma. Nashut down
 
Viongozi wetu ndio wanasababisha hali ngumu ya maisha, lakin matokeo yake sisi wananchi ndio tunaoumia na kupigika! Nimeupenda sana huu msemo.
 
Mmmh, haya ntaitolea statement badae ngoza nimwezeshe mkoloni kwanza.
 
Viongozi wetu ndio wanasababisha hali ngumu ya maisha, lakin matokeo yake sisi wananchi ndio tunaoumia na kupigika! Nimeupenda sana huu msemo.
kwahiyo hapa nani ng'ombe sasa..!!?
 
hyo statement aliitoa mh. filikunjobe mbunge wa ludewa! maana ndo hyo hyo, chapa kiongozi ili wanyuma wapate kusonga!
 
wanafunzi wanaokaa mbele darasani wanaulizwa maswali mengi kuliko vilaza wa nyuma.
 
Back
Top Bottom