Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

Wastani wa unit 4 hadi 5 inategemea na vifaa unavyotumia nyumbani.kwako
 
Unatumia yuniti ngapi za LUKU kwa siku?

Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
Unit 4_5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…