Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Umemjaribu mwanao tu umesharuka hewani utuuzie dawa! Makubwa haya.

Sasa makuje swali dume......TBS na hii menzie TFDA naolewa hii bishara yako ya nywele mpya?

Hii siyo dawa hii natural remedy kama vile hinna au matunda au ule udongo wa kimasai, toka lini ukasikia una TFDA?

Haijatoka kiwandani wala haitengezwi na binaadam ni natural ya Mwenyeezi Mungu 100%. Wala haina process yoyote ya utengenezaji.
 
Watu wabishi jf sijapata kuona sasa kama alipiga ya kwanza akiwa na kipara baada ya nywele kuota atafananeje na ya kwanza?
Pia sehemu amepiga tofauti kabisa
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
* Dada weka bei ya dawa ila nina swali huyo dawa inazingatia umri kama mtu ana miaka 50+ nywele zitaota?
Swali la pili,je ni kweli kuna dawa za kuongeza uume na hazina madhara?
Cc masaidada
 
Last edited by a moderator:
Mama nikutakie biashara njema na nina imani utapata wateja wengi. ILA kwenye hizi picha umezipiga kijanja janja.

Ni mtu mmja ndio, ila picha ya juu umepiga kwenye paji la uso ila hii ya chimi umepiga utosini. Ndio maana watu wanakuwa na wasiwasi.

Hizi picha hazijapigwa na professional. Hizi picha zimepigwa kikawaida kabisa na mtu wa nyumbani na camera za simu ambae hizo za awali hata hajafikiria kama kuna siku tutaziweka hapa JF ziwe ushahidi. Hizo za pili ndio kapiga jana nimemlazimisha ili niziweke JF.

Sina sababu ya kudanganya, ili iwe nini? Mimi ni Muislam na ninakatazwa kucheza na mizani.
 
Nipo dodoma Napaje hiyo ya bure ili NIJE KUWAAMINISHA WASIOAMINI

Dodoma upo kwa Bi Rukia - 0653249898 barabara ya saba kwenye mix.

Bi Rukia ni mjasiriamali yeye kaununuwa na anasambaza ili nae ajipatie faida, kwa hiyo sidhani kama atakupa bure, na siwezi kuwalazimisha wajasiriamali watoe bure, bure ninautoa kwangu tu.
 
Watu wabishi jf sijapata kuona sasa kama alipiga ya kwanza akiwa na kipara baada ya nywele kuota atafananeje na ya kwanza?
Pia sehemu amepiga tofauti kabisa
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
* Dada weka bei ya dawa ila nina swali huyo dawa inazingatia umri kama mtu ana miaka 50+ nywele zitaota?
Swali la pili,je ni kweli kuna dawa za kuongeza uume na hazina madhara?
Cc masaidada

Ndugu yangu sijajaribu kwa mtu wa miaka 50, lakini nipo tayari kukupa bure ili ujaribu na ujionee mwenyewe matokeo.

Hii ni natural remedy ya ajabu kwenye matatizo ya ngozi, Ninashkuru Mwenyeezi Mungu kutujaalia kuigundua na sitotumia kujiingizia kipato cha haramu. Sitokubali mtu isiomsaidia ailipie na pia kwa yeyote asieweza kuinunua mradi mimi nnayo aje kuchukuwa bure.

Hicho ndicho nnachoweza kukisema kwa uchache.
 
kumaliza mzizi wa fitna...unauzaje dawa yako?...sh ngapi na ni kwa kipimo kipi au gani?

Ni TZS 3,500 kwa pakti ya gram 100 ambayo unaweza kuitumia kwa wiki tatu hadi nne.

Kwa mawakala wengine bei inaweza kuongezeka kutokana usafirishaji na sehemu zao wanazouzia, hiyo bei ni kwangu Sinza.
 
Pich hizo zimepigwa sehemu tofauti na camera tofauti na wakati tofauti, na moja ni nje na nyingine ni ndani ya nyumba, hata miji ilizopigwa hizo picha ni tofauti.

Na hizo picha hazijapigwa ki professional kwa ajili ya advertising. Hizo ni picha zilizopigwa kawaida tu kwa ajili ya kumbukumbu.

Huyo ni mwanangu na ni mtu mmoja na sina haja ya kudanganya, nidanganye ili iweje?

Nina ushauri kwako kidogo kama utaona wafaa....waonaje ukibadili hizo picha ulizoweka hapo juu uweke zinazofanana...au uweke hizo ulizomtumia jamaa kwa PM....maana naona watu wanajikita kwenye kuhisi wanaibiwa kutokana na mwonekano wa picha badala ya kujikita kwenye huduma unayotoa..

Mie sikufahamu na naamini unachosema
Kila la kheri kwenye kuhudumia watu
 
Bei ngapi

Ni TZS 3,500 kwa pakti ya gram 100 ambayo unaweza kuitumia kwa wiki tatu hadi nne.

attachment.php

Nina ushauri kwako kidogo kama utaona wafaa....waonaje ukibadili hizo picha ulizoweka hapo juu uweke zinazofanana...au uweke hizo ulizomtumia jamaa kwa PM....maana naona watu wanajikita kwenye kuhisi wanaibiwa kutokana na mwonekano wa picha badala ya kujikita kwenye huduma unayotoa..

Mie sikufahamu na naamini unachosema
Kila la kheri kwenye kuhudumia watu

Nimejaribu kuweka kwenye PM nimeshindwa, sina ujuzi sana na haya mambo ya picha.

Lakini kama mtu antaka picha zaidi ninaweza kumtumia kwenye email au whatsapp halafu yeye aziweke.
 
Wale wote wenye mashaka na picha, mimi si mjuzi sana wa picha namba wanipe whatsapp zao au email niwatumie halafu wao waziweke vizuri.
 
Nimejaribu kuweka kwenye PM nimeshindwa, sina ujuzi sana na haya mambo ya picha.

Lakini kama mtu antaka picha zaidi ninaweza kumtumia kwenye email au whatsapp halafu yeye aziweke.

Hujanielewa nadhani...nimemaanisha kwamba uedit post yako na uweke picha zingine zinazoonekana vyema.

Pointi yangu hapa ni kwamba post inaweza kuwa edited...ukaongeza picha, kuongeza maneno au kupunguza nk.
 
Kutumia dawa ni hiari yako mbona mnashoboka sana na picha??hadi huyu dada anashidwa kujibu maswali ya msingi...
Hajakulazimisha utumie dawa wala hajakulazimisha kuiamini dawa yake!!
 
Zainab tuelekeze jinisi ya kutumia dawa isipootesha nywele sitakulaumu maana hata za wazungu kama za malaria nanunua 10,000 na haiponyeshi malaria sembuse 5000???
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom