Kabaizer
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 504
- 64
Mimi ndio kinaanza sijui hata nifanye nini mkuu bora nikubali hali halisiAsante mkuu, vipara vinatupeleka puta, ipo siku tutajipaka NNYA
Mimi ndio kinaanza sijui hata nifanye nini mkuu bora nikubali hali halisiAsante mkuu, vipara vinatupeleka puta, ipo siku tutajipaka NNYA
Hakuna jinsi mkuu, otherwise tutaendelea kutajirisha watu na vipara vyetu bado vinadumuMimi ndio kinaanza sijui hata nifanye nini mkuu bora nikubali hali halisi
Naskia mkuu vipara dili mgodin wanafanya tochi hivyo linda kichwa chako wasije kukikata ili wakafanye tochi huko mgodini!Hakuna jinsi mkuu, otherwise tutaendelea kutajirisha watu na vipara vyetu bado vinadumu
Ha ha ha ha hawanipati ng'ooooNaskia mkuu vipara dili mgodin wanafanya tochi hivyo linda kichwa chako wasije kukikata ili wakafanye tochi huko mgodini!
Dar es Salaam
Dar Home Delivery: Mzee Abdul = 0756803528
Ilala / Kariakoo = Raymond Mushi - 0713422069
Ilala kwa Masai Kimako = Mwanahamisi Saloon 0718775220
Kijitonyama - Vivian Mshomi - Stendi ya Makumbusho - 0757176678 / 078476678 / 071576678 / 0776154933
Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782
Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.
Sinza = Aunt Zainab - 0769302206
Tabata = Yusuph Mushi 0715488669
Zanzibar (Unguja)
Dr. S. Shafi 0754650480
Arusha
Mama Aida -0754445733
Dodoma
Rukia - 0653249898
Iringa -
Janet - 0714757197
Lindi
Nuru - 0717461575
Mbeya
Haule - 0756994850 na 0784658349
Mwanza
Mama Alex / Bonge 0768545736 na 0765072213
Morogoro
Lina Mafwere - 0754297319 Boma Road.
Tanga
Farouq - 0719190000
I am not though, okey? Sorry for interruption Miss JFNope, it's not as I wish it's as seen above.
Talk.
I am not though, okey? Sorry for interruption Miss JF
naomba namba zako nahitajiAunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.
Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:
Before
View attachment 268739 View attachment 268761
naomba namba zako nahitaji
Hii Biashara itakuua kwa kasi Sana japo sijui bei gani nikipata hata 10,000 nitakutafuta. Nahitaji Sana Mimi ninatatizo kama Rooney.
Dawa yako inaweza kuwa nzuri ila kinachoogopesha watu wanaweza tumia na nywele zikaota ila sasa watakapoacha kuitumia nywele zitapotea tena na hii itawafanya wawe watumwa wa dawa zako sabu itabidi kwa gharama yeyote wanunue tu ili upara wao usionekane. Labda utueleze huyo mwanao hapo chini ni lini ameacha kutumia hiyo dawa kama ameshapona au ndo anaendelea kupaka kila siku!?
Haya maelezo yanatia shaka sana.
Kama ni money back guarantee aturudishie hela zetu ss
Mimi nimetumia, nimefika hadi nyumbani kwa Tamimu, ni UTAPELI MTAKATATIFU
shingi ngapi?Huyo ni mtu mmoja sina sababu ya kukuongopea hata kidogo na ni mwanangu mwenyewe.
Ni mtu mmoja picha zilipigwa sehemu tofauti na wakati tofauti ndiyo maana unaona different ya rangi.
Mie unanionaje kwenye avatar nina asili ipi?
Hayo ndio maajabu yenyewe, utafikiri watu wawili tofauti lakini ni mmoja tu, umemuona mzee kwa kuwa ana kipara na sasa kaota nywele anaonekana kijana zaidi. Na hiyo ndugu yangu ni baada ya wiki nne tu ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay.
Ukipenda karibu nyumbani umuone mwenyewe. hakuna cha kuficha hapa.
shingi ngapi?
Akikujibu nitafarijika mkuuTunaomba utuwekee picha ya mwanao ya sasa na je kwa wateja wako wa hapa Tanzania kuna hata mmoja aliyefanikiwa kuota nywele kwenye kipara kwa kutumia huu udongo? Kama yupo tunaomba picha tafadhali
Mimi pia nasubiriTunaomba utuwekee picha ya mwanao ya sasa na je kwa wateja wako wa hapa Tanzania kuna hata mmoja aliyefanikiwa kuota nywele kwenye kipara kwa kutumia huu udongo? Kama yupo tunaomba picha tafadhali
Mkuu wewe si ulinunua ama?Mimi pia nasubiri