unatoka mkoa gani kati ya hii

Aug 17, 2016
69
125
TANGA mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa
shanga.
ARUSHA kama huna meno ya dhahabu unatengwa.
MANYARA usipoua simba we boya tuu
MARA demu akiwa hapigwi anaomba talaka.
MWANZA mtoto mchanga wa cku 1 anapewa ugali
sio maziwa.
KAGERA. huko hata barabara ya vumbi wanaita
flyover.
KiGOMA .kati ya watu 10 basi 8 sio watanzania.
SHINYANGA.kuokota hirizi ni kama kuokota jani la
muembe uchawi no stress
TABORA. wasomali wengi kuliko waswahili
DODOMA. mtoto anazaliwa kanyoosha
mikono.anajifunzia uomba omba tumboni.
RUKWA. hawa hata hawajui km wapo tanzania
MBEYA. huko wanawake wamekomaa kuliko wanaume
inaganda.
IRINGA kujinyonga ni ushujaa.
MOROGORO. wanaamini wao ni wajanja kuliko dsm
PWANI. hawa ni mgambo wa jiji la dsm.wanalinda
mkoa.
LINDI mkoa mkuubwaaa ila woote ni hifadh ya
wanyamapori.
MTWARA.usipokula panya unaonekana mwanga
RUVUMA huko naskia hawatumii tsh wanatumia
kwacha.
DSM. kila mtu tapeli. Unaweza kujitapeli had nafsi
yako
KILIMANJARO.ikifka december mji unajaa. Cjui hata
watu wanatoka wap?
SINGIDA wanapenda kuigana GUEST nyingi kuliko vibanda vya M PESA.
vumbi
Wewe unatokea mkoa gani kati ya Mikoa hii?
 

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
5,134
2,000
hao jamaa kumbe huua simba kwa sumu kisha wanasema wao shujaa!
moshi kweli kipindi hichi tupo wenyewe tu sijaona sura mpya hadi sasahivi!
Arachuga ile ni grill kama ya diamond sijui kwanini diamond alinunua yale meno bora angekaa arachuga mwezi tu angeyapata bure!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom