Sawa mkuu Hiyo brand naifahamu nitaijaribuTumia old spice deodorant (sio antiperspirant).
Hapo sawa maana ungelikuwa Me! Ningesikitikia wazazi wako.Mimi ni ke mkuu
Hadi shingoni unapaka deod?Asante mkuu nimekuelewa. Kama nilivosema awali, sababu ni Hiyo deodorant niliyoitumia