Unatoaje weusi kwapani na shingoni?

Unatoaje weusi kwapani na shingoni?

kamikaze

Senior Member
Joined
May 12, 2025
Posts
129
Reaction score
142
Nilitumia deodorant flani kwa Muda kumbe inasababisha kwapa kuwa jeusi. Sasa nimejaribu kutumia limau kwa Muda mrefu Lakini wapi. Limau linakata tu harufu y’a jasho ila haliondoi ule weusi ulioletwa na ile deodorant y’a mwanzo. Nikaambiwa nijaribu deodorant y’a forever living lakini wapi. naombeni mnisaidie kwa anayejua kitu kitachonirudishia rangi y’a mwanzo ambayo sio dark kama iliyopo saivi. Na shingo Pia, hasa upande wa nyuma Naona it’s darker
 
Jaribu na hii sabuni
 
Attachments

  • PXL_20250722_182428581.PORTRAIT.ORIGINAL.jpg
    PXL_20250722_182428581.PORTRAIT.ORIGINAL.jpg
    365.5 KB · Views: 27
Huo uweusi jiulize sababu ni nini, weka madawa ya kupaka pembeni.
Fuatilia na ufanye utafiti dalili ya kiafya inayoitwa Insulin resistance,
Ni sawa na gari itoe moshi mzito mweupe halafu unaipeleka car wash waisafishe labda itaacha kutoa moshi. Insulin Resistance is real.
 
Asante mkuu nimekuelewa. Kama nilivosema awali, sababu ni Hiyo deodorant niliyoitumia
 
Tumia hii toner,unasafisha na pamba baada ya kuoga kisha ndiyo upake mafuta.
Ila sijajua uko wapi maana zipo na feki za mchina,kama upo Dar nenda S.H.Amon(Mlimani city) au Zurii wapo Dar free market!
 
Attachments

  • 61DAurbQboL._UF1000,1000_QL80_.jpg
    61DAurbQboL._UF1000,1000_QL80_.jpg
    31.2 KB · Views: 27
  • Thanks
Reactions: nac

Similar Discussions

Back
Top Bottom