Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,445
1. Google.com -Ni kama google ndo internet kwa sasa. inatwa search engine ila naita search answer website/engine. Inashangaza kuna watu wanakuwa wavivu wa kujishughulisha. Anauliza swali au tatizo fulani bila hata kusema kajaribu kulitaatuaje.Be active before ask something google it. Dunia ya sasa ni rahisi kuwa na ujuzi na kila kitu japo at the basic level sababu ya google.
2. yahoo.com -Free email account. Naona iko presentable na design yake ni nzuri. Japo nina account nyingine za hotmail na gmail yahoo kwangu is the best. Home page yao pia ina habari za kuelimisha.Kwa mpenda michezo pia wana tangaza michezo live kwa maandishi hasa michezo ya Mpira , formula1 na tennis
Binafsi naona kuliko kutangaza Tanzania kupitia CNN ni bora tutumie yahoo.
3. bbc.com au bbc.co.uk -Naipenda kwa hot news za kimataifa .tafiti, afya, teknolojia hasa web yao ya BBC NEWS | Programmes | Click. (clickonline)
4. jamiifrums.com- wakati wengine e -social network zao ni fb twitter kwangu mimi hii ndo e-social network site yangu. Hapa napata kujifunza mengi na watu wanakubali na kukataa kutofautina kwa hoja.Iwe ni michezo, siasa, dini mapenzi, teknolojia. Mijadala ya huru na wazi.kupitia jamii forum unaweza kupata habari muhimu za magazeti yote ya Tanzania.( Unauwa ndege wane kwa jiwe moja)
5. piratebay.org -Nawashauri wanafunzi na watoto wa wakulima wasisite kutembela site hii wakitaji vitabu vya kiada na ziada, movie, miziki hata software.Ni bure . Binafsi nimeokoa gharama nyingi mno.Hapa navyonadika nimemaliza kudowload music video ya waka waka wa shakira na nimeuweka kwenye simu. Naenjoy japo kiuno cha shakira kwa macho. Teh teh tehe. Japo wenye hii site wana kesi mahakamani usishindwe kushangaa imo katika site 100 bora duniani. na kwa tanzania imo katika top 20.
6. howstuffworks.com - Kwa wale wanapenda kujua mambo na vifaa fulani na teknolojia zinavyofanya kazi hii ni tovuti nzuri. Mfano Unaweza kueleza kwa kitaalam kifupi simu yako ya mkononi inafanyaje kazi?Unajua friji linafanyaje kazi.? CD na DVD zina tofauti gain kitaalam? Unaweza kupata majibu haya hata wikipedia.com lakini nakushauri usiache kutembelea howstuffwrks.
7. globalpublishers.info - Teh teh teh teh. Once au twice a week lazima nitembelee hii site nisome udaku. Inachekesha, inafurahisha na inakera pia lakini ndo life. Kumbe kuna udaku usiokuwa za kiuchumi,wala sio biashara unaweza kuwa news.ila naona mdau mkubwa anataka kuvaa jezi ya Chama tawalakuwa mbunge kwa hiyo vyama vingine vijiandae kuumizwa.
8. justin.tv- Hii ni site inayofanya video streaming.Kuna watu wana stream movie tena mpya mpya, kuna watu wana stream vipindi maarufu vya TV vinavyopendwa hasa ulaya.kuna watu wana strem documentary.
Nashangaa kwa nini taasisi zetu kama wizara ya utalii inashindwa kutumia njia hizi za bure kutangaz. Vivutio vya Tanzania.
9. myp2p.eu ,atdhe.tv na ustream.tv Hizi ni site za kustream michezo live. Huwa najiiba kucheki mpira hasa nikiwa mzigoni.
10. free-ed.net -Kabla hata sijazijua site nyingi nilizotaja hapo juu hii site ilikuwa kipenzi changu wakati nasoma.ina colletion ya masomo ya mambo mengi iwe ni hesabu- trigonometry, Uchumi, IT, nk . Site nyingine za kielmu nzuri kwa wanfuzi wa sekondary na vyuo ni http://www.khanacademy.org/ na http://academicearth.org/.
Je wewe ni tovuti gani unazitumia na kutembelea mara kwa mara?