Unategemea kumfanyia tukio gani la kushtukiza mpenzi wako ifikapo usiku wa kuamkia tarehe 1/1/2020?

Hajaniona Tangu 2019 ianze ni mwendo wa simu tu

ila usiku wa kuamkia Tar 1 wakati ITV waki count zile dk na sekunde

Ntakua nipo mlangoni kwake nagonga mlango yani ile inagonga 12:00 AM

nitakua mbele ya macho yake with a gift of a smile na mustach zangu.
Woooooow.....!
 
Write your reply...hapa nilipo kwanza nimebadilisha lain mpaka February nitakuwa online hilo ni bonge moja la surprise yani kutoweka ghafla
 
Back
Top Bottom