Unatazama Movie Gani

Unatazama Movie Gani

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,346
Reaction score
6,841
Wakuu habari ya mapumziko ya sikukuu,natumaini mlio wengi kama mimi tuko nyumbani kwa mapumziko. Pamoja na shughuli za hapa na pale mimi natuliza akili kwa kuitazama movie ya Acts of Vengeance imechezwa na mkongwe Antonio Bandares. Kwenye movie hii analipiza kisasi kwa watu waliowaua mke na binti take.
Je we we unaangalia au ukipata muda unatarajia kuangalia movie gani.
Karibuni.
 
Nacheki XxX part3 humu kuna vichwa kama vin diesel ,don yen, samuel l jackson,ice cube, neymar jnr ndani ya nyumba na wengine kibao
 
Back
Top Bottom