Hata Bwana Yesu, hakuwa na kosa lakini waliibuka watu wakimshutumu na kumfananisha na wakosaji.
Lakini alibaki na kuisimamia iliyokweli hadi mwisho, na KWELI IKASHINDA.
Binafsi, Naamini yakuwa UKWELI UNA NGUVU, UKWELI NI NURU, UKWELI UNATENGANISHA CHENGA NA MCHELE.
Hivyo, maneno yako hayawezi kuishinda KWELI, MAANA KWELI HUENGUA MANENO YOTE YA HILA AUTOMATICALLY, YAANI KWELI HUWA INAYA PROVE WRONG.
Hakuna giza lililowahi kufunika Nuru, vivyo hivyo manwno yako ya kiza, kamwe hayawezi kufunika Maneno yangu ya ukweli.