Unatamani kumiliki gari au magari?!

Unatamani kumiliki gari au magari?!

mkuu bado natafuta chief
Yeyote utakae wasiliana mae hapa kwenye thread yangu ambae sio MAGARI7, Tambua yakuwa huyo sio Mimi.

Nina email moja yu ya kazi, ambayo ni

ecarstanzania@gmail.com

Hivyo, ukifanya biashara na mtu mwingine kupitia thread yangu hii, tambua yakwamba sio Mimi, na Mimi MAGARI7 sitahusika kwa tatizo lolote litakalo jitokeza.

Ahsante.
 
noted mkuu. Natafuta 110 iliyo kwenye hali nzuri
 
Mkuu ungeliweka number yako hapa maana siyo mie pekee nayehitaji mkuu.
Watu kibao humu wanayo number yangu.

Ila huwa sitoi number kiholela, kukwepa usumbufu.

Maana, kuna wale wenyewe watahitaji kupiga simu, all the times, na hakuna cha maana, zaidi ya kuuliza tu bei.

Ndio maana nikaamua kutoweka number bali email. Maama naamini humu, email inatumika zaidi.

Natumai umenielewa, ahsante na karibu sana.
 
Nina laki 7 mkuu Nataka gari maana kila nikizichanga hazijai Halafu Nina ndoto za kumiliki gari
87558d2017e36752f2c24e4aa9535e9e.jpg
 
Back
Top Bottom