Unatamani kumiliki gari au magari?!

Unatamani kumiliki gari au magari?!

Z,
 
Mleta mada hajibu PM toka asubuhi, nina mashaka
 
Aisee Man Nahitaji Land rover Mkuu au Nissan Pickup single cabin nataka niende nikalime na hii itanifaa mkuu
 
MIL 5 SUZUKI CARRY NAPATA KIBINGWA?
@JLMM ;

Kwanza nipenda uliza yako, umeongea na kile ulichonacho!

Pili, kwa bei hio haitatosha kaka, tafadhari ongeza kidogo.

Unaweza kuja pm au ukanitumia e-mail ilituweze kujadiliana zaidi.

Karibu!
 
Aisee Man Nahitaji Land rover Mkuu au Nissan Pickup single cabin nataka niende nikalime na hii itanifaa mkuu
Haina tatizo man,

Karibu pm au waweza nitumia e-mail ilituweze kudiscuss.
 
  • Thanks
Reactions: mob
Habari yako,

Je, unatamani kumiliki gari/magari bora zaidi lakini huna fedha za kutosha.?!

Umechoka kununua magari kwa watu nawe unatamani kuagiza gari/magari bora na kwa gharama nafuu sana.?!

Kama jibu ni ndio.?! Basi karibu

Kwa maswali au ushauri

Karibu pm au unaweza

kuniandikia kupitia barua pepe hii ; ecarstanzania@gmail.com


4Runner right hand mwaka kuanzia 2007 price,
 
Back
Top Bottom