Na safari hii nimependa tena mtoto wa mtu bwana. Sema ndo siachi yani if I die I dieNakujua dada ukipenda
Aahh mimi Siyo pampula mbona jamaniKikao cha mapampula.
Amen.. Amen...SweetheartAmen thank you so so much lovely sister. Dada mpole dada mwenye ustaarabu wake.
Nakupenda zaidi dada. Mungu akubariki sana.
Mkuu nikimtaja utasaidia kuonana nae? Manake sio nataja tu halafu naishia kutaja.fikiria mkuu
lengo ni kwamba itasaidia kwa yule unayetaka kukutana naye ajue tu amna kitu kingine ndo lengo la uzi huuMkuu nikimtaja utasaidia kuonana nae? Manake sio nataja tu halafu naishia kutaja.
Haya mkuu!!lengo ni kwamba itasaidia kwa yule unayetaka kukutana naye ajue tu amna kitu kingine ndo lengo la uzi huu
🤝🤝🤝Haya mkuu!!
Salama kabisaNipo mkuu. Mambo yako?.
Ya wese, umeshasahau, au zilikuwa henken siku ile zinaongeaHuu uzee huu ofa ipi hiyo tena
Nakujua dada ukipenda sina ugeni na wewe msalimie dr popote alipo ukimuonaNa safari hii nimependa tena mtoto wa mtu bwana. Sema ndo siachi yani if I die I die
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Eeenh hivi nikilewa najikutaga nani mimi lakiniYa wese, umeshasahau, au zilikuwa henken siku ile zinaongea
@audacious unasalimiwa na ndugu yangu.Nakujua dada ukipenda sina ugeni na wewe msalimie dr popote alipo ukimuona
Hahahhaa kama namuona atakavyocheka@audacious unasalimiwa na ndugu yangu.
Yani napenda vibaya kabisa japo siaminikagi naonekana jambazi
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Naona hajasoma atakua busy na ulezi.Hahahhaa kama namuona atakavyocheka
Bwana weeh maisha ndio hayahaya acha tupende tu hakuna namna yakiisha yameisha
Hahahaha shunie bhana..unafukua makaburiNakujua dada ukipenda sina ugeni na wewe msalimie dr popote alipo ukimuona