Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

JF tunakutana online, mambo ya kutamaniana kukutana yanatoka wapi tena? Mkutane kwenda wapi?

Kwani hawa watu tuko nao mtaani si ndio hawa hawa wa JF, au wenyewe wametokea sayari nyingine?
Si kama wewe ulivyofahamiana na wengine nje ya JF mkuu?
 
Reason behind, you usualy use logic in expressing your points rather than emotions. Thats makes you different from the rest.
Binafsi namuadmire Abrianna kwa mengi, anaonekana ni mtu ambae akili imetulia sana tofauti na members wengi

Mwingine ninaetamani kumuona ni Evelyn Salt kwa sababu anaonekana akili yake inaenda resi sana, in fact haboi yaani unaweza kucheka mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom