Unatakiwa ubadili mswaki kila baada ya miezi 3

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,394
Unatakiwa ubadilishe mswaki kila baada ya miezi 3. Kuna watu wanatumia mswaki miaka 3.

Sio vizuri unatakiwa ubadilishe kila wakati ndo mana midomo haitaacha kunuka coz unatumia mswaki mda mrefu.

Mara yako ya mwisho kubadilisha mswaki lini?

Wewe unabadlisha mswaki kila baada ya mda gani?
 

Attachments

  • 1460141569745.jpg
    1460141569745.jpg
    10 KB · Views: 26
Back
Top Bottom