Elections 2010 Unataka waziri ya nishati awe nani?

mataka

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
286
61
Jamani hakuna wizara ninayoichukia kama ni nishati, mambo yake hayaeleweki, kwa kumbumbuku nilizonazo hatuna umeme wa uhakika tangu octoba 2011 hivi ni uzembe wa wizara au tanesco. niko njia panda simjui wa kumlaumu, naomba tuchangie kwa weredi wa hali ya juu bila kuingiza siasa. Nani unaona anafaa kuiongoza hii wizara? Manake huyu dogo simuelewi na lugha yake ya "mchakato bado unaendelea" naomba kuwasilisha
 
Yaani nilivo ona title nime kasirika ghafla,
kuingia kwangu humu sio kukujibu ila kusema naomba
kila atakae shika wadhifa huo akishindwa kazi afe
 
Jamani hakuna wizara ninayoichukia kama ni nishati, mambo yake hayaeleweki, kwa kumbumbuku nilizonazo hatuna umeme wa uhakika tangu octoba 2011 hivi ni uzembe wa wizara au tanesco. niko njia panda simjui wa kumlaumu, naomba tuchangie kwa weredi wa hali ya juu bila kuingiza siasa. Nani unaona anafaa kuiongoza hii wizara? Manake huyu dogo simuelewi na lugha yake ya "mchakato bado unaendelea" naomba kuwasilisha

kwa serikali tuliyonayo, bora hata awe shetani tu.
 
Mkuu sioni mtu ndani ya hili lichama letu mpaka tuling'oe tu labda kidogo tutapumua. Lo lichama gani lisilosikia wala kuona. Speaker nakubaliana nawe, mi huwa nakasirika hadi nahc nipata stres kwa sababu ya upuuz wa hii wizara. Nadhan ndo wizara inayofanya fyongo kuliko zote. Ingekuwa ni ligi hii wizara ingekuwa ishashuka daraja sijui la ngapi maana hata la kwanza isinge-qulify.
 
Kama chama cha magamba kinamuogopa mru kutoka chadema ni afadhali tumwazime waziri wa nishati wa kenya.
Tanesco ni mfupa uliokwanguliwa nyama zote na. viongozi wafanya biashara ya siasa.
.
 
Jamani hakuna wizara ninayoichukia kama ni nishati, ...Nani unaona anafaa kuiongoza hii wizara?
Kuna siku kulikuwa na mgao mkali sana, niko home nasikiliza mpira wa Simba na Yanga kwenye redio ya simu, nikasikia Ngeleja kwenye radio yuko uwanja wa Taifa ana comment kuhusu Simba na Yanga na kucheka cheka, nilitaka kupasua ukuta kwa hasira.
 
Back
Top Bottom