Unataka wanasiasa wasikunyan'ganye shamba lako eti hujaendeleza? Usilipime ukapata hati

Halafu mashamba. Mengine yanafanyiwa ufugaji,pia nchi nzima hauwezi kulimwa na wakati mwingine ardhi huachwa ili irudishe rutuba
 
mkuu,ni kweli unayosema lakini ukiacha shamba lako bila kuliendeleza halafu halijapimwa akija mwekezaji uchwara "anapewa" na uongozi wa kijiji kwa maelezo kuwa ardhi ni mali ya kijiji.
yaani kwa sera ya ardhi iliyopo sasa hivi hakuna pa kukwepea.
kulikuwa na zoezi la hatimiliki za vijiji sijui liliishia wapi.
sheria ipi please iweke hapa
 
Back
Top Bottom