unataka utoke wkend na mpoleeee?

Kwa hiyo sisi tulio ingia pamoja nae tusipewe heshima? We ungesema tu JF members wote.

hapana. sina maana hiyo. mi namaanisha wale watu ambao anadeal nao kwa sana sana halafu marafiki zangu. na hii sijaiandika kwa nia mbaya. ni kama tahadhari ili asije nikwaza. sema na wewe ungekuwa rafiki yangu halafu ukawa unaonewa hata wewe nakutetea. pole sana. mpoleeee yupo piwa sana sema kuna vitu vidogo vidogo inabidi nmusaidie kumrekebisha ili tuende sawa coz hata yeye ni rafiki. Mia
 
This is to you mpolee: hopefully this is not one of those silly acts za kupata popularity because there are better ways than this... Kujidhalilisha namna hii..is really not worth a fame!
To the guys mnaomtetea: my view mnataka kum mislead huyu dada hamna lolote zaidi ya kumchoresha tu. na kwa wale wanawake wanashabikia hii pia SHAME ON YOU!!
 
Sioni kibaya alichokifanya.
Hajamkashifu mtu..... what's wrong with dating?
Au unamshauri akatafute kanisani?
It's just a way of life.
 
ww ni bikra? Huna mwanaume? Niklala nae kujfrahsha au kny mahsiano zote c dhamb? Cha ajab nn hapa? Soma upya natafta date sio pplarity.
 
Sioni kibaya alichokifanya.
Hajamkashifu mtu..... what's wrong with dating?
Au unamshauri akatafute kanisani?
It's just a way of life.

naona ajab wenyej wantukana na kunu hukum lkn bado lawama zaja kwang.
 
hata wakinita pumbav?

kati ya hao nilotaja atakaye kuchokoza niambie mimi. hata dena nmeshaongea nae. napenda kuona jf tukifurahi na kucheka pamoja kila wakati coz sote wamoja na tuko mtandao mmoja unao heshimika, so yatupasa kuheshimiana. pamoja sana, one love. Mia
 
Like like like

kuna ugonjwa fulani ulikuwa unaambukizwa kwa kutumiwa bahasha yenyeb white powder unaitwa kimeta. Ulikuwa gumzo baada ya sept 11. Nahisi kimeta umeanzwa kuambukizwa kwa njia nyingine tofauti
 
This is to you mpolee: hopefully this is not one of those silly acts za kupata popularity because there are better ways than this... Kujidhalilisha namna hii..is really not worth a fame!
To the guys mnaomtetea: my view mnataka kum mislead huyu dada hamna lolote zaidi ya kumchoresha tu. na kwa wale wanawake wanashabikia hii pia SHAME ON YOU!!
Unajuaje kama anajitafutia umaarufu?
 
kati ya hao nilotaja atakaye kuchokoza niambie mimi. hata dena nmeshaongea nae. napenda kuona jf tukifurahi na kucheka pamoja kila wakati coz sote wamoja na tuko mtandao mmoja unao heshimika, so yatupasa kuheshimiana. pamoja sana, one love. Mia

waambie waache kuntusi na kuniona mjinga hata kama wamenzd.
 
ajabu! Kutaka watu waish wanavotaka. Inahuu?
Ila nimependa sana style yako ya kupotezea hizo comments. Wengine wanaingia kwa nia ya kupoteza mwelekeo wa mada, tumesha soma post ya Lizzy (Mkosa hoja). lol
 
This is to you mpolee: hopefully this is not one of those silly acts za kupata popularity because there are better ways than this... Kujidhalilisha namna hii..is really not worth a fame!
To the guys mnaomtetea: my view mnataka kum mislead huyu dada hamna lolote zaidi ya kumchoresha tu. na kwa wale wanawake wanashabikia hii pia SHAME ON YOU!!

jf where we dare to taik openly. where are you my dear? equal rights we dare. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom