Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,910
- 55,899
Kweli
Hata mjini makabila ypo DadaHuyu wa mjini bhana
Ndio Maana Nimeuliza Kabla Hujakipata Unachotaka Hebu Jithaminishe Kwanzandege wafananao huruka pamoja halikadharika wanyama wafananao huenda pamoja hivo wew una typ yako hao wa utupu waachie walio watupu kikubwa pigania maisha yako usijudge yawingine.
Mbona Umekuwa Mkali Kwa Mwenzio Si Umckze Nn AnatakaTena unikome yeezus kabla sijakudhalilisha.... Koma pm yng hivi wewe binadamu gani usye elewa nishakwambia sitaki mazoea na wrwe finish..... Wewe dawa yako ngoja nokublock[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji123]
yaan umeshindwa kumwambia private huko unakuja kuweka hapa ili kila mtu ajue unatongozwa!!!!Tena unikome yeezus kabla sijakudhalilisha.... Koma pm yng hivi wewe binadamu gani usye elewa nishakwambia sitaki mazoea na wrwe finish..... Wewe dawa yako ngoja nokublock[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji123]
Mpuuzi hana lolote analuga chafu km karo LA maji takaMbona Umekuwa Mkali Kwa Mwenzio Si Umckze Nn Anataka
We fala Nn jambo usilolijua nikm usiku wa Giza acha kuingiliwa yasikuhusu....wewe aliponi quote umepaona na palikuwa pm.....acha ubashite boya wweyaan umeshindwa kumwambia private huko unakuja kuweka hapa ili kila mtu ajue unatongozwa!!!!
acheni kiki za kiboya bhana!!!!
Kama unadanganya nitamwambia yule jamaa wa kule makapuku forum asikuoe ng'oo![emoji1][emoji1][emoji1]Yangu mie naijua
SwadaktaTabia yako ndio utambulisho wako wa kwanza kwa jamii. Watu huijua tabia yako kwa kuyaangalia mavazi yako kwanza, ukiwa wa kutunyanyulia manyonyo na kuyaacha wazi kwetu unatufungua mishipa yetu ya fahamu juu ya ulivyo, ukiwa wa kuvaa mavazi ya kuacha mapaja nje utambue kuwa tunakuthibitisha rasmi ulivyo maskini wa maadili.
wewe ndio fala.. sasa mambo yenu ya inbox mnawekaje public..!!!! imekuwa ndo fasion yenu msiojielewa yaan sijui mnahisi ma"miss world.. acheni ushamba!!!!We fala Nn jambo usilolijua nikm usiku wa Giza acha kuingiliwa yasikuhusu....wewe aliponi quote umepaona na palikuwa pm.....acha ubashite boya wwe
Nasikia na wewe unaappearence ya ujanja ujanja ni kwelisi kweliiii inategemea ila asante kwa ushauri