Unataka ndoa au hutaki? ?

Emar

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Messages
369
Points
500

Emar

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2018
369 500
Habari wanajukwaa , Hongereni kwa kuendelea kulijenga taifa.
kuna kijitabia kimejijenga especially kwa wa ubavu wetu, (wadada)
Nasema Wadada kwasababu ndo sana.
Unakuta mdada anampost either rafiki au kaka yake, whatever kwa lengo la either kumuwish birthday au graduation .

Ila sifa anazompa mpaka unashangaa kwakweli.
Inawezekana sometime huyo dada ameolewa na anandoa au ana mahusiano ila anamwagia sifa kaka yake, sifa nyingine hata hata huyo soulment wake hajawai ziambulia
Mfano. Handsome wetu
- kipenz chetu
- kichwa chetu hicho na mambo mengine mengi!
Siyo ajabu ila kitu cha kushangaza ni kuwa hiv ajui kuwa anamahusiano?
Na je anayaweka mahusiano yake especially yule ampendaye katika wakati mgumu.
Mfano ukimuacha mtu wa hivi ni dhambi?
Ni mtazamo tu.
 

Emar

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Messages
369
Points
500

Emar

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2018
369 500
Povu la nn?
Ukishindwa kusifia mumeo alafu unaenda kumsifia mume wa mtu
Pambafff kwani mkataba wenu wa kuoana una kipengele kinachozuia ndugu wa kiume wa mke kuwa karibu na familia baada ya kuolewa? Acha wivu ama umuoe dada yako ili sifa zibaki nyumbani kwenu
 

Goddess

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
3,446
Points
2,000

Goddess

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
3,446 2,000
Povu la nn?
Ukishindwa kusifia mumeo alafu unaenda kumsifia mume wa mtu
Kama sio handsome unataka uitwe handsome aisee mm ntakuita sura mbaya ukinuna kufa

Mume anasifiwa kwa muda wake na wengine kwa muda wao usipanic hovyo haana hata mungu asifiwi muda wote kuna wanaomkufuru pia usisahau hili
 

Emar

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Messages
369
Points
500

Emar

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2018
369 500
Kama sio handsome unataka uitwe handsome aisee mm ntakuita sura mbaya ukinuna kufa

Mume anasifiwa kwa muda wake na wengine kwa muda wao usipanic hovyo haana hata mungu asifiwi muda wote kuna wanaomkufuru pia usisahau hili
,
Sasa kwanini usingeolewa na mahandsome umekuja kwa sura mbaya
 

pujo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2019
Messages
1,020
Points
2,000

pujo

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2019
1,020 2,000
Sasa apo kuna tatizo gani?, ndugu atabaki kuwa ndugu na mpenzi atabaki kuwa mpenzi...

Nitashindwaje kumsifia ndugu yangu kwa maneno mazur eti kisa tu nimeolewa, kwani ww hujui km yule ni kaka yangu? ...

Vitu vingine ni ushamba tu kwenye mapenzi..wivu gani huo.
 

Lenie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Messages
330
Points
1,000

Lenie

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2012
330 1,000
Hahahaa yaan umuache mtu kisa kampost kaka yake n kamsifia!! Labda kama una sababu nyingne ya kumuacha so unamtaftia kisingzio mkuu

Af mbona sifa zenyew ulizoandika hapo ni za kawaida sana, sijaona ubaya mtu kumsifia nduguye hvyo
 

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
13,988
Points
2,000

masai dada

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
13,988 2,000
Yaani wewe una wivuuu duuuh hadi kwa ndugu mtu?
Ukimkuta na rafiki si utaua???
Punguza au acha wivu kama hakusifii wewe haimaaanishi asisifie mwingine
 

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
12,609
Points
2,000

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
12,609 2,000
kwani ww ndo babake, au hujui Mzazi huwa anafurahi akiona mwanae amepata mtu sahihi
Mijitu yenye wivu kama wewe hampaswi kuozwa mabinti zetu, maana ninyi hamchelewi kuwaza magunia ya mkaa pale mnapoota ndoto za wenzi wenu kupendwana wengine...hakuna kipimo cha kujua usahihi wa mtu kwenye mahusiano!
 

Forum statistics

Threads 1,379,661
Members 525,486
Posts 33,752,490
Top