Unataka kuwa kama hawa kina mama?

Unataka kuwa kama hawa kina mama?

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,343
Reaction score
16,805
12002074_1055183584551517_4731539226465178257_n.jpg
 
Kithungu Ni Janga La Kitaifa.Msaada Kenye Tuta Plzz!
 
mi nataka kuwa buried!!wewe je?
Mimi kama wewe nataka nizikwe futi sita ardhini.

Kuchomwa moto, hapana.

Mpaka hivi sasa huko niendako sijui hatma yangu, sasa nianze kuchomwa moto kuanzia hapa ulimwenguni hadi huko mbele ya safari nako unakutana na moto, si hatari hii.

Mambo hayo tuwaachie wenye imani zao(mabaniani) na wale watakaofanya uamuzi wao kama Tupac
 
Back
Top Bottom