Unataka kununua nyumba au kiwanja? Hakikisha haya kisheria usitapeliwe


ulibadili hicho kipengele?
 
Uzi murua, shukrani sana, nina maswali mawili;

1.Kuna ulazima wa viongozi wa serikali ya mtaa kweye hili, nimeona maeneo mengi wenyeviti wa vitongoji na watendaji wakijumuishwa kwenye hii mikataba

2.wakili akihisishwa, gharama za kuandaa mkataba inakuwaje? kuna mazoea kwamba ni 10% ya makubaliano, hililimekaaje?
 
Nasubiri majibu kwa maswali mengi yaliyo ulizwa ndipo na mimi niulize ya kwangu kwani naona mleta uzi kawa kimya.
 
Asante JF kwa uzi huu. Fanani Binafsi nimefurahishwa sana na huduma hii. Ukimya wa mleta mada unanifanya nifikiri kwamba huduma yake kwa jamii imeishia hapo. Zaidi ya hapo ni kazi kama ilivyokawaida ya wanataaluma.
 
Asante sana Mwanasheria Elimu yako itakuwa n aimpact kwa Jamii. Safi sana
 
Asante JF kwa uzi huu. Fanani Binafsi nimefurahishwa sana na huduma hii. Ukimya wa mleta mada unanifanya nifikiri kwamba huduma yake kwa jamii imeishia hapo. Zaidi ya hapo ni kazi kama ilivyokawaida ya wanataaluma.
Uzi umekaa poa sana na itasaidia kuepuka migogoro
 
Naam bonge la somo nimepata barikiwa tena na tena.
mimi mwenyewe nimejifunza kitu kikubwa. Ingawa nimegundua kwenye mkataba wangu kuna kitu kimepungua mfano majina matatu. Mengine yote yapo ispokuwa nani atasimamia ikiwa kuna mgogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…