Unataka kumfanyia mwanamke kitendo cha uovu?

Unataka kumfanyia mwanamke kitendo cha uovu?

Ukiwaza negatively unatisi anazingua, think of it in a positive way, huenda hata kuwasaidia binti zako in the future.
I repeat,

FOOL'S WISDOM.

Sihitaji msaada wa mtu who has nothing positive to say about women ever, yeye misukosuko mwanzo mwisho akijifanya anawasaidia wanaume. You'll know them by their fruit.

Mradi MUNGU hajatajwa hapo ni uharibifu in disguise.

Binti zangu wamsikilize YESU sio self proclaimed traumatized relationship gurus wa mitandaoni.

Hata mimi nikienda kinyume naye wanikatae. Hao ndo mabinti nawataka.
 
Danganyaneni.

No GOD in your wisdom.

Sanasana mnachofanikiwa ni kuzidi kuziweka mbali hizi jinsia mbili.

Fool's wisdom.
Kama nilielewa hoja yako ya kwanza ilikuwa ina mhadaa mtoa MADA japo uliificha ficha WATU wasielewe ulikuwa na maana kwamba kaumizwa so anaandika MADA za namna hii SABABU hiyo ila uandishi wake hauonyeshi hila, namfananisha na MTU anaekuambia ukweli ila haonyeshi kama ZILE tabia za panya za kung'ata na kupuliza. Unachapwa hasa. Pole sana.

Mwanaume yeyote aliye KWENYE mahusiano atakubali kwamba HATA mwanamke ukimwambia kweli anakuchukia sana.

Mfano mzuri demu ananuKa K utatakiwa tumpeleke vacation Kisha uvute vute muda na story ukungawira ngawira NDO umwambie ole WAKO umwambie mkiwa ghetto hapo NDO utajua hujui UNAWEZA MPA HATA PESA AKAPIME LAKINI AKAGOMA HANUKI NA KUKUCHUKIA WIKI NZIMA. Akianza kuzidiwa na kuoza NDO anajileta tatizo limekuwa KUBWA linaitaji PESA nyingi.

Sio hii TU yapo MENGI hawataki kuambiwa.
 
Huwa ume focus sana kwenye past past. .

Do you know the psychology (and the spirit) behind you focusing on people's past?

Halafu wewe (mwanaume) unataka tu focus tu kwenye future yako.
:2Head:

Do you know why?
Comrade, men also have pasts. But that argument ignores a simple truth. men and women are not judged by the same standards in relationships, because they do not bring the same responsibilities into marriage.

Marriage has never been a union of two identical roles. It is a structured relationship where a man leads and a woman follows, where authority and submission coexist, not competition.

For a woman, one of the greatest values she brings into marriage is sexual discipline and loyalty.
And the strongest predictor of future loyalty is past behavior.
People rarely abandon lifestyles they are accustomed to.

A woman who has lived recklessly, moving from man to man, sustaining herself through multiple men, or chasing constant validation. Will struggle to suddenly adapt to sexual and emotional exclusivity with one husband.

Marriage itself reflects leadership, not equality. A man pays bride price and assumes responsibility
A woman joins his household and carries his name
Children take his lineage
He provides, protects, and bears the weight of leadership
His approval is sought in major decisions

These realities demand loyalty and submission, virtues that are difficult to sustain without discipline formed long before marriage.
Sexual loyalty does not begin at the altar. A ring does not erase habits, comparisons, or memories.

A woman with extensive sexual history will consciously or not compare her husband to past partners, and this silent comparison slowly erodes marriages. This is why a woman’s sexual history matters deeply to men.

On the other hand, women often evaluate men differently.
A man’s past is frequently overlooked if his future shows promise, his ability to lead, provide, and protect.

That reality explains why society forgives male infidelity more easily than female infidelity: expectations are not the same. Even women understand this instinctively, even when they publicly deny it.
 
Kaanzisha thread ya uovu wa kumfanyia mwanamke.

Wewe tuanzishie thread ya mema ya kumfanyia mwanamke.
Hapana hujamwelewa kasema mwanamke ILI afanyiwe uovu lazima atenganishwe na mwanaume alie NAYE.

Ni ngumu kumdhurumu mwanamke anayejenga nyumba akiwa ana mume au mwanaume AMBAYE ni kama mshauri wake ila ni RAHISI Kwa yule asiye na mume au mwanamume.

Hivyo KATIKA Uzi wake anataka kuonyesha umuhimu WA mwanamke kiwanna mme na sio kufundisha kumtendea mwanamke ubaya.
 
Jamani sijamaliza kusoma paragraph zenu maybe next time.

OgaBoy pole kampe demu wako mimi sina shida nayo.

We mjaze ujinga tu.

No happy person goes around with such attitude ya huyu mleta mada. Ukaa kwenye kisimu chako kupost misukosuko non stop.

Huyu anawaambukiza misukosuko. Im telling you.

Mtafute wanaume wanaofurahia wake zao ndo muwasikilize, wataambukiza furaha yao na positivity yao.

Na mumfuate MUNGU sio hawa makungwi wenu wa mitandaoni kina Natafuta Ajira. MUNGU ndo atawaepusha na ma ballistic missles otherwise mtaishia kuwa ving'ora kila siku. Aibu.

 Bye
 
Kwamba kilichoandikwa na mleta mada sio sahihi?

Kwamba sio kweli mwanaume akitaka kumuibia mwanamke haangalii kama kuna mwanaume pembeni yake? Iwe kununua/kukarabati magari, ujenzi/ukarabati wa nyumba nk, hakuna ukweli wowote?
Nilichojifunza, hapa jukwaani kuna watu tayari wapo standby kupinga chochote ninachokiandika, na huyo ukiemnukuu ni mmoja wapo. Mawazo yao ni kwamba chochote kinachoandikwa na Natafuta Ajira ni cha kupingwa tu.

Sikatai watu kunipinga na ninapenda sana challenge. Wapo wakina min -me Yoda Hziyech22 n.k kwenye kukubaliana tunakubaliana, kwenye kupingana tunapingana without hard feelings
 
"bwana ako amekukataza kutoka usiku kwa sababu hataki ule maisha"

Hii wanadanganyika sana ,kama mwanamke alikuwa anataka kula mabata ,kushida kwenye malounge ,kwenye maclubs na maBAR kulikuwa hakuna haja ya kuolewa.

Ukishaolewa kuna siku moja moja ni za kutoka na familia ila ngingi ni za kujenga familia...sasa wakikutana na NUNGAYEMBE likamjaza upepo na lenyewe linaJAA,
 
Nilichojifunza, hapa jukwaani kuna watu tayari wapo standby kupinga chochote ninachokiandika, na huyo ukiemnukuu ni mmoja wapo. Mawazo yao ni kwamba chochote kinachoandikwa na Natafuta Ajira ni cha kupingwa tu.

Sikatai watu kunipinga na ninapenda sana challenge. Wapo wakina min -me Yoda Hziyech22 n.k kwenye kukubaliana tunakubaliana, kwenye kupingana tunapingana without hard feelings
Ulokole na ukichaa huwa vina fanana sana
 
I repeat,

FOOL'S WISDOM.

Sihitaji msaada wa mtu who has nothing positive to say about women ever, yeye misukosuko mwanzo mwisho akijifanya anawasaidia wanaume. You'll know them by their fruit.

Mradi MUNGU hajatajwa hapo ni uharibifu in disguise.

Binti zangu wamsikilize YESU sio self proclaimed traumatized relationship gurus wa mitandaoni.

Hata mimi nikienda kinyume naye wanikatae. Hao ndo mabinti nawataka.
Unahitaji sana kunisikiliza ndio maana haukosekani kwenye thread zangu. You are obsessed with me and you can't deny it.
 
Jamani sijamaliza kusoma paragraph zenu maybe next time.

OgaBoy pole kampe demu wako mimi sina shida nayo.

We mjaze ujinga tu.

No happy person goes around with such attitude ya huyu mleta mada. Ukaa kwenye kisimu chako kupost misukosuko non stop.

Huyu anawaambukiza misukosuko. Im telling you.

Mtafute wanaume wanaofurahia wake zao ndo muwasikilize, wataambukiza furaha yao na positivity yao.

Na mumfuate MUNGU sio hawa makungwi wenu wa mitandaoni kina Natafuta Ajira. MUNGU ndo atawaepusha na ma ballistic missles otherwise mtaishia kuwa ving'ora kila siku. Aibu.

 Bye
See you around. Next time try to be better than today
 
Hapana hujamwelewa kasema mwanamke ILI afanyiwe uovu lazima atenganishwe na mwanaume alie NAYE.

Ni ngumu kumdhurumu mwanamke anayejenga nyumba akiwa ana mume au mwanaume AMBAYE ni kama mshauri wake ila ni RAHISI Kwa yule asiye na mume au mwanamume.

Hivyo KATIKA Uzi wake anataka kuonyesha umuhimu WA mwanamke kiwanna mme na sio kufundisha kumtendea mwanamke ubaya.
Upo sahihi, ila unayemjibu amekiri hakusoma content ya uzi. Amesoma kichwa tu (heading) akaanza kujibu..
👇
Didn't even read what he wrote, nimesoma heading na mstari wa mwisho tu.
 
Sivyo kabisa.
Nadhani umeelewa vibaya kwa kuwa hukusoma uzi, umesoma heading pekee. In my opinion the heading is misleading. Ukisoma uzi utamuelewa
Reading between the lines, ndio changamoto ya huyo jamaa uliemnukuu. Sijajua kama ni mwanamke au mwanaume,kwahiyo nashindwa kujua niende nae kwa mtazamo wa kike au wa kiume
 
To take advantage of a woman you must make sure she has no man's protection or there's is no man she listens to. Sell her the idea of being free to do what ever she likes. Once you achieve this you have unlimited number of women to exploit, scam, use, damage, harm, traumatise or destroy while convincing them that you are giving them right and opportunity to exercise their freedom.

Thieves understand this. Businesses understand this. Toxic friends understand this. Corrupt men understand this. Feminists understand this.
Hatari sana...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom