Unataka kujifunza uchawi njoo huku!

Unataka kujifunza uchawi njoo huku!

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,246
Reaction score
12,796
Ni mwezi mmoja sasa ka-lap top kangu kamecease hard disk,nilikuwa na maktaba kubwa ya soft books na miongoni mwa favourite books kilikuwa ni The Master Key System cha Charles Haanel, leo nimeamua ku google kuona kama nitapata softcopy nyingine. Sehemu nilipoipata loh panatisha hebu nenda ukaone mwenyewe www.darkbook.org/
 
nilienda tu kutafuta kitabu pia nikasoma article kama tatu hivi,VERY INTERESTING. Tunaweza kupata maujuzi kibao

Umetoa maelezo meengi ya kuzunguka lakini umeacha lile la ukweli kuwa 'UMETUMWA' ili kujaribu kuongeza members...lol
 
uchawi lazima tujifunze ili kujilinda na kina Cameron. Nalog off
 
nilienda tu kutafuta kitabu pia nikasoma article kama tatu hivi,VERY INTERESTING. Tunaweza kupata maujuzi kibao

huko siji kabisa. Ndo mnaanza kupotezwa ivo taratibu. Kesho kutwa unakuwa mchawi kamili.
CHANZO CHA IMANI NI KUSIKIA.
 
ngoja niende kwenye PC yangu nikajifunze maujuzi.
 
Back
Top Bottom