Ninahitaji kujua watu wangapi wako interested kujifunza programming na ambao wanahisi wakielezwa kwa kiswahili is better kuliko kiingereza. Kama ndio tupia hapa ungependa kujua nini.
Nafikiria kutengeneza Youtube series kwa kiswahili ambayo itakua na playlists mbalimbali zitakazo waintroduce watu kwenye concepts za Java, Android Programming, C++, C, Javascript, Datastructures, common algorithms, Swift n iOS Programming, na ikiwezekana kutengeneza full apps kuanzia mwanzo kabisa hadi completion.
Nafikiria kuifanya kama weekend project ambapo every weekend nitaupload few videos polepole kama itaendelea it will probably take a year or more kumaliza playlists zote hapo juu, sema nataka kujua kama kuna audience even if its 100 people, najua english tutorials zimejaa.
Ukijibu ingependeza ukisema unataka nianzie wapi, kama huna experience kabisa au hujiamini hata kidogo unaweza sema hujui mi ntajua kua unataka nianze mwanzo kabisa kwenye basics
[HASHTAG]#include[/HASHTAG]<iostream>
using namespace std;
int main()
{
cout<<"mimi apa bro"<<endl;
return 0;
}
Mkuu kwa mfano mimi niko Arusha, lakini nahitaji sana kujifunza programming sasa unatusaidiaje sisi wa mikoani?Ninahitaji kujua watu wangapi wako interested kujifunza programming na ambao wanahisi wakielezwa kwa kiswahili is better kuliko kiingereza. Kama ndio tupia hapa ungependa kujua nini.