HACHOKI TALEMWA
Member
- Mar 4, 2013
- 93
- 9
Machine learning naitaji mm using cpp
Usisahau kunitumia mkui
Unapatikana mkoa gani kwa anayetaka kujifunza seriously kutoka kwako...face to face. Ni beginner kabisa.Ntapost link ya Youtube channel hapa kwa hiyo weekend ikifika we pitia utaiona.
Unapatikana mkoa gani kwa anayetaka kujifunza seriously kutoka kwako...face to face. Ni beginner kabisa.
Aanze moja KABISA ili kila mtu awe nae mpaka mwisho!Tupo mkuu tena anza moja kabsaaaaaa
Machine learning naitaji mm using cpp
Aanze moja KABISA ili kila mtu awe nae mpaka mwisho!
Unaanza lini sasa ili tujipange kujifunza? Ni muhimu uanze from the scratch ili kwenda na wote...ili wale beginners wasije buruzwa na wanaojua. Ni ombi tu.Programming na computer science in general haina mwisho, ni kuendelea siku zote, hata mimi hadi leo najifunza vitu vipya kila siku, sema basics ni muhimu sana ili watu waweze kuandika software ambazo ni fast na space efficient. Nitabase kwenye basics na nitagusia na advanced concepts pia with time hasa ambazo naona wabongo wengi hawafanyi coz wengi software zao nimeona wanabrute force kila kitu.
mkuu leta hi kitu ila ni vizuri ikawa kwa english pia uanze na basics then ndo uingie kwe maufundi yenyew..please hata kama mia hatufiki kama tuko wachache wenye nia ya kujifunza tusaidie tuNinahitaji kujua watu wangapi wako interested kujifunza programming na ambao wanahisi wakielezwa kwa kiswahili is better kuliko kiingereza. Kama ndio tupia hapa ungependa kujua nini.
Nafikiria kutengeneza Youtube series kwa kiswahili ambayo itakua na playlists mbalimbali zitakazo waintroduce watu kwenye concepts za Java, Android Programming, C++, C, Javascript, Datastructures, common algorithms, Swift n iOS Programming, na ikiwezekana kutengeneza full apps kuanzia mwanzo kabisa hadi completion.
Nafikiria kuifanya kama weekend project ambapo every weekend nitaupload few videos polepole kama itaendelea it will probably take a year or more kumaliza playlists zote hapo juu, sema nataka kujua kama kuna audience even if its 100 people, najua english tutorials zimejaa.
Ukijibu ingependeza ukisema unataka nianzie wapi, kama huna experience kabisa au hujiamini hata kidogo unaweza sema hujui mi ntajua kua unataka nianze mwanzo kabisa kwenye basics
mkuu nawewe naona ni mjuzi wa hizo mambo so hizo terminology za computing mtakua mnasaidiana kutuelewesha wengne tusiojua fani hizo i hope tutaelewa tu mkuuWazo zuri sana, nimewahi jaribu kwa kuandika through blog, likanijia wazo la video kama hivi... Ila naona ushaniwahi.... Kweli ngoja ngoja inaumiza matumbo... Tafadhali fanya hivyo tunahitaji watu waelewe programming sana bongo na inawezekana, nashauri uanzie mwanzo kabisa, inagawa changamoto itabaki kwenye tafsiri halisi ya maneno ya computing.
Kweli kabsaaaaKutumia kiswahili ni bora kuliko kiinglishi.
@Ombi.
Mkuu nipo, nimesema kabisa pale juu kua nitaanza na C basics kuanzia weekend.Mkuu NullPointer naona amepotea