chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
Acha nyege,nimekwambia shangazi yako dadake babako unataka nn kwangu we kirusi!Hata kama shangazi yangu aliwahi kuwa na matatizo hayo haiondoi umuhimu wa wewe kujibu swali hilo
Hebu nijibu basi mtoto mzuri
Ulishawahi kupata matatizo ya akili?
Huyo ndie ananifanya nakuwa nafuraha kila siku
Huyo ndie malkia wa moyo wangu
Huyo ndie anaenipa raha kila siku
Huyo ndie malkia wa ulimwengu ninaoishi
My love Karucee hebu njoo huku ......lol!!!!!!!!
may be niko selfish, i just want to be myself. Naona ninachoamua niko sawa ila taarifa ntatoa.
Last say haina shida naweza fata yake ila nikiamua au nikitaka kitu changu asinikataze na wala asinibane bane. Anipe nafasineejoy kisha ntarudi kwake safely.
May be ndo maana naona bora niwe single coz naona kama sitakwa na muda na watoto na ikitokea kusikiliza kuwa nataka niende vacation sitaki kitu cha famila kinizuie hata.
Kwanini unayo hiyo veto power?
Uliitoia wapi?
Inaeleweka kuwa nyakati za nyuma kwenye ndoa Mwanaume alikuwa ndie mwenye last say kwenye chochote kile
Lakini siku hizi mambo ni tofauti wanawake nao wanahitaji kuwa na maamuzi hayo pia yaani sio mwanaume tu anatakiwa awe na last say
Pamoja na hayo bado haimaanishi kuwa kila mtu anaeingia kwenye ndoa anakubaliana na mabadiliko hayo
Kuna ambao wanataka mtindo wa zamani wengine wanataka mtindo wa sasa
Wewe ungependa ndoa yako iweje[kama bado hujaingia kwenye ndoa] au ungependa ibadilike na iwe kwa mtindo upi? [kama tayari upo kwenye ndoa]
Naomba unaposema unataka aina yoyote ya ndoa ile utoe na sababu za kutaka hivyo
Ijumaa kareem ...........!!!!!!!
Haya bana,ngoja waje wabeijing utakipata!!
mkweo:music:Hata kama shangazi yangu aliwahi kuwa na matatizo hayo haiondoi umuhimu wa wewe kujibu swali hilo
Hebu nijibu basi mtoto mzuri
Ulishawahi kupata matatizo ya akili?