Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Unataka ipi, kizamani au kisasa?

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,914
Inaeleweka kuwa nyakati za nyuma kwenye ndoa Mwanaume alikuwa ndie mwenye last say kwenye chochote kile

Lakini siku hizi mambo ni tofauti wanawake nao wanahitaji kuwa na maamuzi hayo pia yaani sio mwanaume tu anatakiwa awe na last say

Pamoja na hayo bado haimaanishi kuwa kila mtu anaeingia kwenye ndoa anakubaliana na mabadiliko hayo

Kuna ambao wanataka mtindo wa zamani wengine wanataka mtindo wa sasa

Wewe ungependa ndoa yako iweje[kama bado hujaingia kwenye ndoa] au ungependa ibadilike na iwe kwa mtindo upi? [kama tayari upo kwenye ndoa]

Naomba unaposema unataka aina yoyote ya ndoa ile utoe na sababu za kutaka hivyo

Ijumaa kareem ...........!!!!!!!
 
Ijumaa kharim ...........!!!!!!!

Ya kisasa ndo mpango mzima. Wanasema mchawi mpe mwanao abebe. ukimpa mwanamke madaraka ni rahisi sana kucheza na akili yake. Unamfunga motor anakua busy siku nzima .Unamkabizi kila jukumu alafu wewe unaendelea na mamboyako mengine.
 
Unataka ucheze na akili ya mwanamke?
 
...mwanamke wa karne hii huwezi kumuendesha kama trekta bovu, labda kama unahitaji ndoa yenye misuguano.
..hakika nitakapoingia huko sitataka kuwa dikteta kama nilivyoona kwa baba yangu, the man decided everything, no opinion was accepted. Hata mama akijitahidi kushauri jamaa alipinga sana, ati "nimesema na sitaki mjadala" nilijisikia vibaya coz mum felt so inferior now and then.
 
Kwanini msikilizane wote?

Ulishawahi kuona mahali ambapo hakuna mwenye last say?

kama ana wazo bora nitalikubali na mie kama nna opinion bora aikubali
sio mambo ya bendera fuata upepo.

sisemi hakuna mwenye last say lakin yeye leo anaweza kuwa na last say
na mie kesho nikawa na last say isiwe one way
 
wote tusikilizane..........wote tuwe na say

acheni kujidanganya Sk zote mwanamke unatakiwa upokee maelekezo na sio kutoa maelekezo....... Hata wanyama kama ng'ombe na nyani wanalitambua hlo. Ng'ombe anamuogopa mtoto wa kiume hata mwenye miaka miwili laki sio mwanamke mtu mzima.......
 
Inaeleweka kuwa nyakati za nyuma kwenye ndoa Mwanaume alikuwa ndie mwenye last say kwenye chochote kile

Lakini siku hizi mambo ni tofauti wanawake nao wanahitaji kuwa na maamuzi hayo pia yaani sio mwanaume tu anatakiwa awe na last say

Pamoja na hayo bado haimaanishi kuwa kila mtu anaeingia kwenye ndoa anakubaliana na mabadiliko hayo

Kuna ambao wanataka mtindo wa zamani wengine wanataka mtindo wa sasa

Wewe ungependa ndoa yako iweje[kama bado hujaingia kwenye ndoa] au ungependa ibadilike na iwe kwa mtindo upi? [kama tayari upo kwenye ndoa]

Naomba unaposema unataka aina yoyote ya ndoa ile utoe na sababu za kutaka hivyo

Ijumaa kharim ...........!!!!!!!

mfumo wa zaman ndio umetulia sana......... Sku hiz ubabaishaji tu
 
acheni kujidanganya Sk zote mwanamke unatakiwa upokee maelekezo na sio kutoa maelekezo....... Hata wanyama kama ng'ombe na nyani wanalitambua hlo. Ng'ombe anamuogopa mtoto wa kiume hata mwenye miaka miwili laki sio mwanamke mtu mzima.......

hatuko stone age......
 
lazima kidume uwe last say ukijifanya kumuendekeza mwanamke atakupanda kichwani! ila uishi nae kwa akili maaana wako smart sana hawa viumbe

Kwanini unadhani ni lazima kidume uwe na last say?
 
...mwanamke wa karne hii huwezi kumuendesha kama trekta bovu, labda kama unahitaji ndoa yenye misuguano.
..hakika nitakapoingia huko sitataka kuwa dikteta kama nilivyoona kwa baba yangu, the man decided everything, no opinion was accepted. Hata mama akijitahidi kushauri jamaa alipinga sana, ati "nimesema na sitaki mjadala" nilijisikia vibaya coz mum felt so inferior now and then.

Mkuu sijui kama umejibu swali langu lililoko kwenye mada!
 
kama ana wazo bora nitalikubali na mie kama nna opinion bora aikubali
sio mambo ya bendera fuata upepo.

sisemi hakuna mwenye last say lakin yeye leo anaweza kuwa na last say
na mie kesho nikawa na last say isiwe one way

Ulishaona wapi kwenye huo mtindo wa leo anaamua huyu kesho anaamua yule?
Unajua ndoa ni ya muda gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom