soma hapa tyta kasema kitu kama changu angalia ulivyojibuMnapenda drama ehh!!!
then hapa mi nimesema kidding unasema watu wanapenda ku personalize vitu watu gani na mm ndo niliesema huishi katika maandiko yako una pretendSijui kwanini watu wanapenda kupersonalize vitu..Thanks Capt Nemo
Labda kwa sura nakubali
Shida ipo hivi, ukimheshimu sana mwanamke anakuchukulia wewe ni dhaifu kwake.Hellow wapendwa wangu,
Leo tukumbushiane kuhusu heshima.Mwanamke/mwanaume unataka kuheshimiwa jiheshimu.
A real woman of virtue need to have class. Being all trashy,nasty,wild and rude with your big mouth wont make you earn any respect from men actually they will look so down low at you and despise you.
Kama unataka kuargue,argue kwa hoja na ujumbe utafika na kama ni wakusikika utasikika.Nimejifunza kitu kimoja maishani na katika kazi zangu unataka usikilizwe be humble, jinsi unavyowakilisha na kutoa ujumbe wako matters a lot.
"You want people to respect you,respect them and be a good listener"
Hata kama mwenzi wako akikutukana hupaswi kufungua mdomo wako kumtukana. Dada yangu anasema nyamaza kimya,mwanaume si mtu wa kutukanana nae atakudharau na akudhalilishe ujute,na kipigo utapewa juu.
Na wanaume jamani tafadhali mpunguze jazba na nyie mjitahidi kuwa humble, hizi commands and orders si nzuri kwa kweli. Hakuna mtu anayetaka kupelekeshwa ka punda. Tutumie nyama zetu za ulimi ipasavyo.
Wasalaam gorgeousmimi
I can't belive this..hongereni sanaNi kweli kabisaaa,kuna mengi yakufaidi ukiwa mpole,mnyenyekevu na mwenye heshima kwa mwanaume sahihi....na nilichokuja kugundua ile sentensi ya kuvipa vitu muda ina maana kubwa sana....hakuna watu wazuri kwenye kujirudi kama wanaume.....atafanya afanyalo,ukitulia isivyo kawaida au ukajiweka pembeni kidogo akili itamrudi na atajua cha kufanya maisha yaendelee....ubabe unamfaidisha ibilisi ambaye saa nyingine hata hakuwepo....lol
There you go again.....Making it all personal ha ha ha :lol::lol::lol😛ole yako.....soma hapa tyta kasema kitu kama changu angalia ulivyojibu
then hapa mi nimesema kidding unasema watu wanapenda ku personalize vitu watu gani na mm ndo niliesema huishi katika maandiko yako una pretend
Really, nani kaniwekea?
ndo.mana nikaweka neno kidding lol afu kuna ujumbe wako jukwaa la mapicha picha
Hahaha, hasira unaweza kuzifanyia kazi wakati zimekushika vilivyo lakini zikishatulia huwezi tena maana hasira sii maruani useme utayapandisha tena.when uvumilivu ukiisha aiseee nitarudisha mapigo wakat yeye ana jihisi kupo shwari ..... revenge its good for heart
mimi au kuna zaidi yangu
There you go again.....Making it all personal ha ha ha :lol::lol::lol😛ole yako.....
You are the one and only...cross my heart and hope to die
waoooow speechless
Who started it all?? Ndio watu wanapenda drama!!Thats a fact underlined!!Pleaaaaseeee, lets call a truce, ok?!
Who started it all??…Ndio watu wanapenda drama!!Thats a fact underlined!!
Hellow wapendwa wangu,
Leo tukumbushiane kuhusu heshima.Mwanamke/mwanaume unataka kuheshimiwa jiheshimu.
A real woman of virtue need to have class. Being all trashy,nasty,wild and rude with your big mouth wont make you earn any respect from men actually they will look so down low at you and despise you.
Kama unataka kuargue,argue kwa hoja na ujumbe utafika na kama ni wakusikika utasikika.Nimejifunza kitu kimoja maishani na katika kazi zangu unataka usikilizwe be humble, jinsi unavyowakilisha na kutoa ujumbe wako matters a lot.
"You want people to respect you,respect them and be a good listener"
Hata kama mwenzi wako akikutukana hupaswi kufungua mdomo wako kumtukana. Dada yangu anasema nyamaza kimya,mwanaume si mtu wa kutukanana nae atakudharau na akudhalilishe ujute,na kipigo utapewa juu.
Na wanaume jamani tafadhali mpunguze jazba na nyie mjitahidi kuwa humble, hizi commands and orders si nzuri kwa kweli. Hakuna mtu anayetaka kupelekeshwa ka punda. Tutumie nyama zetu za ulimi ipasavyo.
Wasalaam gorgeousmimi
Hahaha, hasira unaweza kuzifanyia kazi wakati zimekushika vilivyo lakini zikishatulia huwezi tena maana hasira sii maruani useme utayapandisha tena.