Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,764
- 13,875
umenitag mkuu vp?
umenitag mkuu vp?
😂😂😂Simu tunazo tumia pia zina kiwango cha dhahabu...! Harafu wahuni wakawa wanatuambia eti tusiambatane na mapambo ya dhahabu
😂😂😂😂Mkuu kwa nini umetoa hii code? Sasa shughuli yangu ya utafutaji wa dhahabu itadorora.
Huku ni kuharibiana tu!
Nilifikisha tatu tu mkuu 😂.😂😂😂😂
Aisee watu mpo mbele ya muda?
Umeshauza gram ngapi?
Duh ubilionea bado?😂Nilifikisha tatu tu mkuu 😂.
Bado sana mkuu. Bado mimi ni 'Lakea'.Duh ubilionea bado?😂