Unataka dhahabu?

Kwenye simu na laptops ndio kuivuna dhahabu inaweza kuwa Rahisi kuliko kwenye line...Wakenya hununua simu mbovu sababu hii
 
Kuna mtu kakutwa amevunjwa huko Kondoa sijui Dodoma sababu ni hayo hayo madini ya dhahabu na mengineyo, hapo ni sawa unauliza unataka kufa?
 
Ni kweli maisha magumu ila sikufikiria kama tutafikia huku 😹😹😹
 
then kuna mwamba huku mtaa anapitaga na kipaza sauti na tangazo lake huwa ni "Nanunua simu mbovu, remote, deki pamoja na pc mbovu mbovu kabisa kwa bei ya Tsh.500 tuu" huyu mwamba bila shaka itakuwa ni dili zake hizi
 
Hiyo nguvu kazi si bora uje huku Morogoro nikuoneshe dhahabu zilipo uanze kuzichimba walau unaweza ambulia vipoint kila siku
 
Maelefu ya laini kwani wewe ni mtandao Gani au kampuni Gani?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…