Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Kuna wimbo flani uliimbwa na aliekua rafiki mkubwa wa papa wemba moja ya vibwagizo vyake ni mama na bela sheli na bela
HUYO NI PEPE KALE NA AMEIMBA NYIMBO NYINGI SANA KWA KUWEKA KIBWAGIZO HICHO KWENYE ALBUM YA MWAKA 1993 NA ILIYOFUATA YA MWAKA 1994
 




 
Mkuu roga roga,naomba Ile album ya Mario part one ya Franco,ikiwezekana yote tu,maana inanikosha sana,pale list ilitimia,ikishindikana wimbo wa pili baada ya Mario party one kwisha,sijui unaitwaje siukumbuki vizuri
 
natafuta wimbo unaoimba songaaa songaaaa songambele,ulioimbwa na Moni Mambo pls au mwenye full album yake ilibeba kwa jina la shika shika
 
Back
Top Bottom