Unatafuta nini more thani 2 min sex

Unatafuta nini more thani 2 min sex

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,230
Reaction score
4,634
Wanaodai kufanya sex zaidi ya 2 min MPAKA WENGINE ufanya 45 min na 1hr , kama wahubiri wanahubiri na kuomba masaa 6.

Unapata nini? Sex ni burudani sio kazi ukichoka BAADA ya sex hiyo sio burudani ni karaha.

Akumbukwe single Maza WA ulaya, alieacha watoto Kwa bibi.

Screenshot_20260311-191249 (1).jpg
 
Wanaodai kufanya sex zaidi ya 2 min MPAKA WENGINE ufanya 45 min na 1hr , kama wahubiri wanahubiri na kuomba masaa 6.

Unapata nini? Sex ni burudani sio kazi ukichoka BAADA ya sex hiyo sio burudani ni karaha.

Akumbukwe single Maza WA ulaya, alieacha watoto Kwa bibi.

View attachment 3556736
Naomba nikutambue kama katibu wa 2minutes Club Association.
WIvu iwe msamiati kwako
 
Kwamba sex ni burudani, sasa kuna burudani ya dk2? Umeona wapi mpira ukachezwa dk2, wapi umeona muziki ukachezwa dk2, umeona nani anakunywa pombe dk2?

Ngono ni sanaa na burudani, kuna manjonjo mengi, lazima mtu afanye exploration kabla hajaanza pounding, digging, thrusts nk. It won't last 2mins hata uwe ndezi...walau 30mins.
 
Naunga mkono hoja
 
Wanaodai kufanya sex zaidi ya 2 min MPAKA WENGINE ufanya 45 min na 1hr , kama wahubiri wanahubiri na kuomba masaa 6.

Unapata nini? Sex ni burudani sio kazi ukichoka BAADA ya sex hiyo sio burudani ni karaha.

Akumbukwe single Maza WA ulaya, alieacha watoto Kwa bibi.

View attachment 3556736
Sasa huoni kupata hiyo burudani kwa dakika nyingi ndo raha zaidi kuliko kuipata kwa dakika mbili?
 
Kwamba sex ni burudani, sasa kuna burudani ya dk2? Umeona wapi mpira ukachezwa dk2, wapi umeona muziki ukachezwa dk2, umeona nani anakunywa pombe dk2?

Ngono ni sanaa na burudani, kuna manjonjo mengi, lazima mtu afanye exploration kabla hajaanza pounding, digging, thrusts nk. It won't last 2mins hata uwe ndezi...walau 30mins.
Vulisha ingiza kaloa chomoa nenda kafanye kazi
 
Kwamba sex ni burudani, sasa kuna burudani ya dk2? Umeona wapi mpira ukachezwa dk2, wapi umeona muziki ukachezwa dk2, umeona nani anakunywa pombe dk2?

Ngono ni sanaa na burudani, kuna manjonjo mengi, lazima mtu afanye exploration kabla hajaanza pounding, digging, thrusts nk. It won't last 2mins hata uwe ndezi...walau 30mins.
Unaona Sasa tatizo lako

Wewe ukiangalia mpira ,au mziki unatumia nguvu gani Kwa HIZo dk 90? Hivyo kwako ni burudani ila Kwa wachezaji ni kazi na inachosha ndioaana unaona wanabadili wachezaji we vipi bhana.

So tumia dk2 acha mbwembwe
 
Sio Raha burudani haitaki utumie nguvu YAANI inakuwaje burudani alafu unatoka unatambaa kama umepigwa virungu vya polisi
Kwa hio wewe Mzee wangu dakika 2 tayari kwisha kazi yaan mambo yanaishia ndani ya dakika 2 baada ya hapo hutaki tena kimoko chali?
 
Hakuna burudani ya dakika 2 hata bia haichukui dakika 2 kulewa, nazungumzia bia acha na yale maji ya betrii mnayouziwa buku buku kisha mnaambiwa ni visungura
Bia sio burudani nani kakuambia bia ni burudani?

Anaekunuwa bia hana tofauti na anaekunuwa dawa iweje burudani
 
Unaona Sasa tatizo lako

Wewe ukiangalia mpira ,au mziki unatumia nguvu gani Kwa HIZo dk 90? Hivyo kwako ni burudani ila Kwa wachezaji ni kazi na inachosha ndioaana unaona wanabadili wachezaji we vipi bhana.

So tumia dk2 acha mbwembwe
Hakuna sexual satisfaction ndani ya dakika 2, Dopamine hormoni haiwezi ikakupa reward ndani ya hizo dakika, Oxytocin the same hata Norepinephrine haifanyi hivyo, kamwambie aliekwambia akasome Neurochemistry kwanza halafu uje tena
 
Back
Top Bottom