Unatafuta nafasi ya masomo Australia?

Unatafuta nafasi ya masomo Australia?

Mkuu sina access ya email mara nyingi, naomba niwhatsapp +61424679013 nimepm hujajibu. Na contacts zenyu zipo za Adelaide na sio Tz, mteje yuko Tz angehitaji kuongea nanyi direct

Bila shaka unachanganya sana mambo Jerrymsigwa, sisi hatupo Adelaide bali NSW, namba ya kwetu ni hii hapa +61 24955 5802 (ambayo ipo kwenye website pia) na ni landline (siyo simu ya mkononi).
 
Mkuu kwa fani ya madini,mafuta,gesi degrees zake kwa huko ni dollar ngapi(USD)?

Mkuu bachelor degrees za engineering wanacharge mshiko mrefu kiasi, lakini kiasi kinatofautiana kutoka university moja hadi nyingine. Mfano Curtin University wanacharge AUD 33,800 kwa mwaka kwa bachelor degree ya petroleum engineering! Na university of Newcastle wanacharge AUD 28,000 kwa mwaka kwa bachelor ya engineering (mining)

(1.00 AUD = 0.719111 USD kwa rates za leo kwenye xe.com)
[TABLE="class: ucc-result-table"]
[TR="class: uccRes"]
[TD="class: rightCol, width: 47%, align: left"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom