IBSCS
Member
- Aug 20, 2015
- 31
- 4
- Thread starter
- #41
Hongera kwa kazi kubwa.. Mimi nataka kusoma masters je utanisaidiaje?
Asante Tatiana,
Unataka kusoma masters katika nini? Na plan yako ni kujilipia ada ama kuomba ufadhili?
Kampuni yetu inashughulikia kuwaombea udahili (admission) wanafunzi wanaohitaji kusoma (diploma, bachelor, masters, PhD) na wengi wa wateja wetu ni wale wenye mpango wa kujilipia karo. Kampuni yetu haishughuliki na kuombea ufadhili wanafunzi lakini inatoa ushauri bure kwa wanafunzi wanaohitaji taarifa (information) kuhusu ufadhili. Kama kuna mwanafunzi anataka kuomba udahili kupitia kwetu na kisha aombe ufadhili yeye mwenyewe anakaribishwa kuwasiliana nasi.
Kama unataka kuomba ufadhili tafadhali pitia hizi links zifuatazo na kama unaswali usisite kuuliza kupitia uzi huu
1. Australian Postgraduate scholarships Search Engine
2. International Postgraduate Research Scholarships (IPRS)
3. Australia Awards for Tanzanian Students
Kila la heri
IBSCS