Unatafuta kiwanja Dodoma?

MAHALI-Michese

KWA WASIOPAFAHAMU MICHESE
-Michese ni barabara ya iringa
-kufika michese unapita barabara ya vumbi inayokatiza mirembe-kikuyu-usalama wa taifa na kufika michese
-michese inapakana na chidachi

UMBALI TOKA CITY CENTRE

-michese iko umbali wa kilomita 6 toka city centre ambapo ni karibu zaidi kuliko kisasa(7km)

UMBALI WA VIWANJA TOKA BARABARA YA LAMI

-Mita 100(dakika 1 kwa mguu)

KUPIMWA
-viwanja vimepimwa na manispaa yenyewe na vina document(in-voice) na hati inatoka kwa jina lako

MIUNDO MBINU
-Huduma za maji+umeme haziko mbali
-Barabara nzuri na kubwa ya lami inayopitika vizuri

MANDHARI
-Viwanja hivi vinatizamana na itega ambapo watu wanajenga maghorofa matupu.

-viwanja hivi viko karibu kabisa na shule mpya itayojengwa

-Viwanja hivi viko karibu na soko jipya la michese linapojengwa

BEI ZA VIWANJA
-kama zilivyoandikwa kwenye jedwali hapo juu

NB-serekali(kupitia manispaa) wao wanauza sh.8,000/= kwa square metre na hapa tunauza 6,000/= tu kwa square metre

WAHI KWANI VILIKUWA VIWANJA 31 NA SASA VIMEBAKI 19 TU.

-HAKUNA MALIPO YA AWAMU NJOO NA CASH KABISA

ZINGATIA-MWISHO WA OFA HII NI 29/07/2019 SAA 3 USIKU.

KWA MAWASILIANO ZAIDI
0767833496
0622111186


 
Huna vya block ZE?
 
KIWANJA KINAUZWA @ NKUHUNGU WEST

MAHALI-Nkuhungu West

UMBALI TOKA CITY CENTRE-7km

UMBALI TOKA MAIN-ROAD-200m

UKUBWA WA KIWANJA-600Sqm,b-P,plot number 19

DOCUMENT-Full document+hakidaiwi
--------------------------------------------------------------------
HUDUMA ZA KIJAMII -maji+umeme vipo hapo hapo
-barabara zote za mitaa zimechongwa

MATUMIZI-Makazi

BEI- 7,000,000/=(ni ofa haina punguzo kabisa na kinahitaji kuuzwa haraka sababu ya shida ya haraka iliyompata mmiliki)

MAWASILIANO
0767833496
0622111186
 
VIWANJA VINAUZWA MTUMBA-KIKOMBO 1,630 KWA SQUARE METRE

MAHALI-kikombo-

Viko block BG-Plot number 736(613 sqm),plot number 763(611 sqm) na plot number 764(610 sqm)

DOCUMENT-In voice kwaajili ya hati.Hati inatoka moja kwa moja wa jina lako

BEI-1,000,000/= (milioni 1 Tu) kwa kila kiwanja

Njoo na cash kabisa

MAWASILIANO
0767833496
0622111186
 
Msaada mkuu. Hizo nyaya za umeme zimepita kwenye kiwanja, au ni macho yangu??
 
APARTMENT FOR RENT ON FIRST STOREY @ MAKULU

LOCATION ; Makulu-udom road

SPECIFICATIONS
#03 Bedrooms,one being self contained
#resplendent kitchen with Pantry
#well designed Living Room
#Public toilet
#store

AMENITIES
-water available 24/7
-Electricity available 24/7
-well secured(Electrically fenced) -Hot water system installed
-Well thought out layouts with balconies
RENT ; 600,000/= @ month

PAYMENT TERMS; 1 month+

BROKER'S PAYMENT-One month fee paid by the Rentor

NB ; SITE VISIT CHARGES-20,000/=

FOR MORE INQUIRIES
+255622111186(Whatsap)
+255767833496(Call)
 
APARTMENT FOR RENT @ NKUHUNGU-NDACHI SOUTH

LOCATION ; Nkuhungu-ndachi south

SPECIFICATIONS
#04 Bedrooms,two being self contained
#resplendent kitchen with Pantry
#well designed Living Room
#Public toilet
#store

AMENITIES
-water available 24/7
-Electricity available 24/7
-well secured(Electrically fenced)
-Well designed Garden
RENT ; 500,000/= @ month

PAYMENT TERMS; 1 month+

BROKER'S PAYMENT-One month fee paid by the Rentor

NB ; SITE VISIT CHARGES-20,000/=

FOR MORE INQUIRIES
+255622111186(Whatsap)
+255767833496(Call)
 
OFA YA VIWANJA KARIBU NA LAMI(Vilikuwa 69 vimebaki 02 tu)
Viwanja viwili vilivyopimwa kwa bei ya ofa

MAHALI ; Nala chinangali

UMBALI TOKA CITY CENTRE MPAKA KWENYE ENEO ; 15km

UMBALI TOKA BARABARA KUU YA LAMI(SINGIDA ROAD) MPAKA KWENYE VIWANJA ; mita 300/dakika 4 kwa mguu

IDADI YA VIWANJA ; Viko viwili

UKUBWA WA KILA KIWANJA ; 601 sqm(ni zaidi ya miguu 30 kwa 20), kingine 517sqm

KUPIMWA : vyote vimepimwa(walipima manispaa wenyewe)

DOCUMENTS : vina in-voice kwaajili ya hati

VITU VILIVYO JIRANI
-shule mpya ya masister wa sathome
-eneo lao(masister)watapojenga hospital
-Tanesco substation
-Ngageya college of business
-Eneo la Nam hotel

MATUMIZI ; makazi na pia unaweza jenga apartment za kupangisha sababu ya taasisi za elimu zilizopo lazima wafanyakazi watahitaji kupanga

BEI YA KILA KIWANJA ;- Milioni 2.1 Tu
NB ; nakuibia siri,ukiona sehemu watu wa kanisa katoliki wapo jua hayo ni maeneo potential sana(i stand to be corrected)

MAWASILIANO
0767833496
0622111186

Follow me on istagram kwa jina dalali goodneighbour dodoma

THANK ME LATER
 
KWANINI UNUNUE KIWANJA MICHESE?

Kwa wasiofahamu

MICHESE-iko barabara ya Iringa karibu na hospital ya mirembe na ni karibu na majengo ya usalama wa taifa.

KUPAKANA-michese inapakana na kikuyu,chidachi,kinyambwa extension na itega

UMBALI TOKA CITY CENTRE-kilomita 5.5 tu,mwendo wa dakika 7 toka mjini.anayekaa michese ni sawa na mtu anayeishi kisasa au nkuhungu

MADHARI-kwa karibu zaidi inapakana na ITEGA(ambapo palitengwa na CDA kipindi hicho watu wanajenga maghorofa) hivyo mtu anayekaa michese ni sawa na mtu anayekaa karibu na msasani,masaki ama oysterbay kwa dar
----------------------------------------------------------------------
MIUNDO MBINU
-Barabara nzuri zinazopitika vizuri muda wote,iwe kiangazi au masika -Huduma muhimu kama maji+umeme ziko karibu.

KUPIMWA
-kumepimwa na manispaa wenyewe,ambapo mwezi May 2018 ilitengwa 5.8Billions kwaajili ya kupima iyumbu,nala,mtumba,michese,ihumwa,mahomanyika,kikombo na nzuguni

NB-serekali kupitia manispaa iliuza viwanja sehemu zote walizopima na kuacha michese kuwa project ya mwisho kuuza sababu ya ukaribu zaidi na mjini kuliko sehemu zingine zote walizopima

DOCUMENT
-viwanja vina in-voice ambao ni mfumo mpya wa document baada yakufutwa kitu kinaitwa offer Letter ili kupunguza matatizo ya viwanja kama watu wawili kumiliki kiwanja kimoja,n.k -in voice ni document inayokusaidia kupata hati( clean title deed) kwa urahisi

UKUBWA WA VIWANJA
-viwanja ni vikubwa na vizuri kuanzia 450 square metres(zaidi ya miguu 15 upana kwa miguu 30 urefu)

BEI ZA VIWANJA VYA MAKAZI
-Manispaa wanauza kwa 8,000/= kwa square metre moja -nilivyonavyo nauza 6,000/= kwa square metre moja

ARDHI NI TAMBARARE NA VIWANJA VIKO KARIBU NA LAMI

#Vilikuwa viwanja 39,vimebaki 10 tu.kamatia fursa sasa kabla havijaisha

KWA MAWASILIANO ZAIDI

0767833496(Call+whatsap)
 
Mkuu hiyo kitu unaita ...karibu na magorofa,sio sahihi,ungesema,...eneo lilopangwa kujengwamakorofa na CDA! NA KWA HUU MPANGO WA MJI WA SERIKALI KUWA. NJIA YA MOROGORO,Hiyo mipango ya Michese inakufa,...nakushauri hiyo sifa iondoe inakuharibia!
Michese ni kuzuri Sana,ilo hiyo sifa sio
 
Naulizia cha kikombo brother.....
 
Ni sahihi mkuu
michese na itega(eneo lililotengwa kwaajili ya maghorofa ambapo tayari kuna maghorofa kadhaa) inatenganishwa na barabara mpya ya lami kama unaifahamu

na viwanja vyangu vinaanzia hapo hapo kwenye lami mpya hivyo vinatazamana na maghorofa
 
Mkuu yani mimi nimenunua kiwanja huko michese pale mbele kidogo ya mwisho wa lami mpya. Kimekwisha hakikiwa ila changamoto naskia tunataka kuhamishwa kule coz wanasema hayo maeneo nu ya CDA hzi taarifa nilipewa ofisi ya za ardhi.
 
Kuna mgogoro vibaya mno huo mtaa aiseeh sijui shida ni nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…