Nauza kiwanja changu mwenyewe
MAHALI ;Kiko michese substation-iringa Road(Nyuma ya usalama wa Taifa)
UMBALI ; 7km toka city centre
UKUBWA ; 4032 SQM
KUPIMWA ; Kimeshahakikiwa(reconnaissance),ila kinapakana na mtu ambaye alishapimiwa na kuna bicons za kushea upande mmoja(utaona kwenye picha)
MAJI+UMEME ; Umeme tayari nguzo ninayo kwenye eneo langu.maji yako jirani OTHER DETAILS
1.kina mapagale mawili ndani yake-moja lina vyumba 12 na jingine lina vyumba 02
2.Kuna kisima cha asili ndani yake
3.kuna mikorosho+mihogo+miembe ndani yake
4.Ni eneo zuri sana kwa makazi na unapata nafasi kubwa ya kufanya shughuli zako zingine kama vile ufugaji,n.k
BEI ; Milioni 18 Tu kwa malipo ya CASH
MALIPO YA AWAMU ;
A. Milioni 21 kwa miezi 3,kila mwezi milioni 7
B.Milioni 24 kwa miezi 6,kila mwezi milioni 4
Pia tunaweza zungumza zaidi,maelewano yapo.
Kwa mawasiliano na picha zaidi tuwasiliane
+255622111186(whatsap)
+255767833496
NB ; Eneo ni langu na sio dalali