Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 898
ENEO LA BIASHARA+ MAKAZI-DODOMA(Ukisikia bahati ndio hii)
MAHALI
Michese-Iringa road(Nyuma ya usalama wa taifa).
-Eneo liko opposite na kibao cha shule ya msingi michese(utaona kwenye picha)
UMBALI
Kilomita 9 tu toka katikati ya jiji-Dodoma
UKUBWA
square metres 1008
FRAME ZA BIASHARA
kina frame 08 na bado eneo limebaki kubwa.
HUDUMA ZA KIJAMII
maji,umeme viko jirani.
BARABARA
Ni eneo la kwanza toka barabara kuu inayokuja kuwekwa lami hivi karibuni iendayo michese ambayo tayari imeshapimwa.
KUPIMWA; Eneo tayari limekwishapimwa linasubiri tu hati.(Tafadhali tazama mchoro kwenye picha)
FURSA ZILIZOPO
Eneo lilipo ni kituo cha daladala za michese-panaitwa kibao cha shule.Daladala husimamama hapo kushusha abiria!!Hiki ni kigezo muhimu na kikubwa sana hasa katika kutambulisha na kukuza biashara yako kwa haraka
Barabara inakuja kuwekwa lami siku si nyingi hivyo ni fursa kubwa sana kibiashara
Biashara kama vile hotel,mavazi,pub/bar,hardware,mbao,tofauli zinaweza toka kwa urahisi zaidi kwani maeneo ya jirani(kinyambwa extesion,miganga,chidachi) yanakua kwa kasi sana.utaona kwenye picha
Huduma kama vile kituo cha afya,duka la dawa,bar&lodge,migahawa ni chache sana.Hivyo tumia fursa hii mapema!!!Kazi ni kwako
MALIPO
unaweza lipa cash au kwa awamu
MALIPO YA CASH
bei ya eneo lote+frame zake ni milioni 16 Tu
MALIPO YA AWAMU
-milioni 18 (ndani ya miezi minne,yaani milioni 4.5 kila mwezi)
-Milioni 20(ndani ya miezi. sita,yaani takribani milioni 3.3 kila mwezi)
CONTACTS
0767833496(whatsap)
0622111186
Nasemaje; Mwenye macho haambiwi ona na mwenye kuona fursa kama hii hawezi iacha.
Eneo ni mali yangu halali na sio dalali
MAHALI
Michese-Iringa road(Nyuma ya usalama wa taifa).-Eneo liko opposite na kibao cha shule ya msingi michese(utaona kwenye picha)
UMBALI
Kilomita 9 tu toka katikati ya jiji-DodomaUKUBWA
square metres 1008FRAME ZA BIASHARA
kina frame 08 na bado eneo limebaki kubwa.HUDUMA ZA KIJAMII
maji,umeme viko jirani.BARABARA
Ni eneo la kwanza toka barabara kuu inayokuja kuwekwa lami hivi karibuni iendayo michese ambayo tayari imeshapimwa.KUPIMWA; Eneo tayari limekwishapimwa linasubiri tu hati.(Tafadhali tazama mchoro kwenye picha)
FURSA ZILIZOPO
Eneo lilipo ni kituo cha daladala za michese-panaitwa kibao cha shule.Daladala husimamama hapo kushusha abiria!!Hiki ni kigezo muhimu na kikubwa sana hasa katika kutambulisha na kukuza biashara yako kwa haraka
Barabara inakuja kuwekwa lami siku si nyingi hivyo ni fursa kubwa sana kibiashara
Biashara kama vile hotel,mavazi,pub/bar,hardware,mbao,tofauli zinaweza toka kwa urahisi zaidi kwani maeneo ya jirani(kinyambwa extesion,miganga,chidachi) yanakua kwa kasi sana.utaona kwenye picha
Huduma kama vile kituo cha afya,duka la dawa,bar&lodge,migahawa ni chache sana.Hivyo tumia fursa hii mapema!!!Kazi ni kwakoMALIPO
unaweza lipa cash au kwa awamu
MALIPO YA CASHbei ya eneo lote+frame zake ni milioni 16 Tu
MALIPO YA AWAMU-milioni 18 (ndani ya miezi minne,yaani milioni 4.5 kila mwezi)