Unashindana na nani?

Unashindana na nani?

Njaa ya siku moja inamfanya kuwa mtumwa huku akilinda wenzake wakila na kula vilivyonona
 
Kuna wale jamaa walihamia eisitii wazwarendo aisee sijui wako wapi sijui wamekufa au lah ila director wao aliwaseti vibaya mno na kuna jamaa mwingine akasema anaenda kuichukua kigamboni nae sijui vipi hali yake huko aliko au alinyimwa hela za kampeni na boss wao mkuu,hakika usaliti dhambi ya hovyo sana msaliti hana tofauti na kichaa.lucas ye kaamua kukaza hataki la kusikia wala la kuambiwa huko mbozi kwao wanamkubali kinoma noma tumuache.
 
Mbona mnampa airtime hivyo. Kuna haja gani ya kumwanzishia Uzi? Wote mngekuwa na akili kama yangu ya kumpuuza na kupiga kimya asipate hata komenti moja kwenye nyuzi zake asingekuwa na impact. Mtu mmoja aanzishe Uzi wa kutochangia comment kwa watu wa aina ya Luka.
 
Yani jamaa kakaa anamuwaza Lucas mpaka kumuanzishia uzi!
I hope Lucas atakua proud sana kwa huu uzi.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom